Mfupa wa TANESCO mgumu apewe mwekezaji

Mfupa wa TANESCO mgumu apewe mwekezaji

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2023
Posts
929
Reaction score
1,310
Sidhani kama kuna UBISHI juu ya TANESCO.Mfupa wa TANESCO ni MGUMU pamoja na Kubadilishiwa WAZIRI bado unaendelea kuwa MGUMU.

Kwa kuwa TUMEAMUA kuleta WAWEKEZAJI basi NASHAURI Mwekezaji awe yule yule aliyepewa BANDARI labda ATAIWEZA TANESCO.

169494153.jpg
 
Haya masuala sio sawa kwenye bandari zoezi la kuongeza kina lilichukua muda na matrilioni ya shilingi zoezi limeelekea kukamilika analetwa mwekezaji, ok sawa.

Na kwenye umeme pia???, Bwawa linaelekea kukamilika aletwe mwengine?? Sidhani kama ni sahihi sana
 
Subiri hii ni TANGANYIKA sababu za kumleta Mwekezaji wa Bandari ETI Tumeshindwa KUKUSANYA MAPATO hivi kweli hatuwezi KUKUSANYA MAPATO au wanaotuibia hatuwachukulii hatua tunalindana?
 
Miaka yote tuko nayo sie wenyewe tunaibiana
C heri mwekezaji atupe hela zaid ya tuliokua tunaipata mwanzo
 
Wangebinafsisha na kufanya upinzani ziwe kampuni hata nne za umeme
Mbona nchi zingine wana makampuni kibao ni wewe tu unataka ujiunge na yupi ingawa bei ni monitored na hazipishani hivyo ila huduma ni 💯
 
Sidhani kama kuna UBISHI juu ya TANESCO.Mfupa wa TANESCO ni MGUMU pamoja na Kubadilishiwa WAZIRI bado unaendelea kuwa MGUMU.

Kwa kuwa TUMEAMUA kuleta WAWEKEZAJI basi NASHAURI Mwekezaji awe yule yule aliyepewa BANDARI labda ATAIWEZA TANESCO.

View attachment 2756943
TUnajua mahujumu TANESCO maksudi kwa sababu kuna mwekezaji mmeshampatia mkataba ila mnashindwa kumleta mbele so mnaanza kuihujumu na kuleta chawa walete hizi hoja
 
Yawezekana unaumizwa na matokeo ya sasa TANESCO yamkini yanasababisha uwaze ivo lakini amini kwamba! Wapo Watanzania wanaoweza kusimama na kuifanya TANESCO kuwa bora zaidi.

Myonge mnyongeni haki yake mpeni, wakati wa JPM hali ilikuwa shwari sana kwenye sekta ya umeme, na hii ilisababishwa na uwepo wa watu waadilifu na waaminifu( kwa kuogopa mamlaka au uadilifu binafsi, lakini walikuwa na uadilifu)

Wakati wa SSH, mawaziri wengi hawana uwezo na uadilifu, ni deal from land to air. Upigaji ukarasimishwa kwa kuqmbiwa wale kwa urefu wa kamba zao, dogo kaharibu nishati kapelekwa Foreign (SSH Mungu anakuona)

Mwisho, hakuna kuwajibishana hata kidogo, ndio viongozi wetu hao, hatuwezi laumu sana kwani SHH alijionesha ni mtu wa namna gani, baada ya kupata Urais miezi kadhaa akatangaza nia ya kugombea 2025, this portrayed kwamba anawaza uchaguzi kwanza na kuyaweka maslahi ya umma pembeni, halafu tutegemee mabadiliko? Yapi? Kutoka kwa nani?

TULIWAHI SANA KUPATA UHURU.
 
Sidhani kama kuna UBISHI juu ya TANESCO.Mfupa wa TANESCO ni MGUMU pamoja na Kubadilishiwa WAZIRI bado unaendelea kuwa MGUMU.

Kwa kuwa TUMEAMUA kuleta WAWEKEZAJI basi NASHAURI Mwekezaji awe yule yule aliyepewa BANDARI labda ATAIWEZA TANESCO.

View attachment 2756943
Koma wewe!!

Nishati ni sekta muhimu, ibaki serikalini,

Wawekezaji wengine waruhusiwe Ili kuleta ushindani na TIJA kama ilivyo TTCL na voda Ili kuondoa monopoly.

Lakini kuigawa Tanesco haikubaliki.
 
Wangebinafsisha na kufanya upinzani ziwe kampuni hata nne za umeme
Mbona nchi zingine wana makampuni kibao ni wewe tu unataka ujiunge na yupi ingawa bei ni monitored na hazipishani hivyo ila huduma ni 💯
Hili ni wazo bora, wao wazalishe tu umeme ila usambazaji ufanywe na kampuni binafsi zenye ushindani lazima huduma itakua poa.
 
Sidhani kama kuna UBISHI juu ya TANESCO.Mfupa wa TANESCO ni MGUMU pamoja na Kubadilishiwa WAZIRI bado unaendelea kuwa MGUMU.

Kwa kuwa TUMEAMUA kuleta WAWEKEZAJI basi NASHAURI Mwekezaji awe yule yule aliyepewa BANDARI labda ATAIWEZA TANESCO.

View attachment 2756943
Hivi kwa jinsi Makamba alivyoharibu hapo nishati,unategemea Biteko afanye muujiza ndani ya mwezi?, uhalibifu umefanyika zaidi ya miaka mitatu, Rais Samia tulimwambia ondoa huyo mtu anahalibu akaziba masikio.

Tanesco inahitajika overall management nzima
 
Myonge mnyongeni haki yake mpeni, wakati wa JPM hali ilikuwa shwari sana kwenye sekta ya umeme, na hii ilisababishwa na uwepo wa watu waadilifu na waaminifu( kwa kuogopa mamlaka au uadilifu binafsi, lakini walikuwa na uadilifu)
Hili sio kweli na ndio maana akataka Bwawa la Nyerere lijengwe umeme ulikua hautoshi mahitaji na pia alikua hapendi umeme wa gesi!!

Mgao ulikuwepo sema ulikua hautangazwi so sio kweli umeme ulikua unapatikana wa kutosha.

Yawezekana unaumizwa na matokeo ya sasa TANESCO yamkini yanasababisha uwaze ivo lakini amini kwamba! Wapo Watanzania wanaoweza kusimama na kuifanya TANESCO kuwa bora zaidi.
Kwa serikali hii ya CCM hayo hayawezekani, ila kampuni binafsi hawaoneani aibu maana inatafutwa faida pale sio blah blah.

TANESCO izalishe umeme, imilike Bomba la gesi na mabwawa waishie hapo ila usambazaji kwa mtu mmoja mmoja ufanywe na kampuni binafsi mbona TPDC imefanya hivyo Ina kampuni ya kuuza na kusambaza gesi Ili ije ku compete na sekta binafsi ndio wataacha uzembe.
 
Yawezekana unaumizwa na matokeo ya sasa TANESCO yamkini yanasababisha uwaze ivo lakini amini kwamba! Wapo Watanzania wanaoweza kusimama na kuifanya TANESCO kuwa bora zaidi.

Myonge mnyongeni haki yake mpeni, wakati wa JPM hali ilikuwa shwari sana kwenye sekta ya umeme, na hii ilisababishwa na uwepo wa watu waadilifu na waaminifu( kwa kuogopa mamlaka au uadilifu binafsi, lakini walikuwa na uadilifu)

Wakati wa SSH, mawaziri wengi hawana uwezo na uadilifu, ni deal from land to air. Upigaji ukarasimishwa kwa kuqmbiwa wale kwa urefu wa kamba zao, dogo kaharibu nishati kapelekwa Foreign (SSH Mungu anakuona)

Mwisho, hakuna kuwajibishana hata kidogo, ndio viongozi wetu hao, hatuwezi laumu sana kwani SHH alijionesha ni mtu wa namna gani, baada ya kupata Urais miezi kadhaa akatangaza nia ya kugombea 2025, this portrayed kwamba anawaza uchaguzi kwanza na kuyaweka maslahi ya umma pembeni, halafu tutegemee mabadiliko? Yapi? Kutoka kwa nani?

TULIWAHI SANA KUPATA UHURU.
JPM gani huyu munamsifu kwa masifa ya uwongo kila uchao? Kipindi chake wananchi hawakuruhusiwa kukosoa ila yeye ndiyo alikuwa anaeneza propaganda zake za uwongo tu.
 
Hili ni wazo bora, wao wazalishe tu umeme ila usambazaji ufanywe na kampuni binafsi zenye ushindani lazima huduma itakua poa.
Ni wazo zuri sana ila walafi wengi hawataka keki ikatwe vipande vipande
Kuna majizi unatamani yapigwe kibiriti tu
Mwizi wa kuku anachomwa moto ila haya yanaachwa tu nakuzidi kuota mizizi

Haiwezekani wakashindwa kujua mbinu za kutatua haya
 
Hivi kwa jinsi Makamba alivyoharibu hapo nishati,unategemea Biteko afanye muujiza ndani ya mwezi?, uhalibifu umefanyika zaidi ya miaka mitatu, Rais Samia tulimwambia ondoa huyo mtu anahalibu akaziba masikio.

Tanesco inahitajika overall management nzima
PAMOJA NA KUMPA UNAIBU WAZIRI MKUU HATA UKIMPA MIAKA 5 TANESCO NI MFUPA MGUMU NAKUAPIA ATAONDOKA BILA KUUTAFUNA
 
Miaka yote tuko nayo sie wenyewe tunaibiana
C heri mwekezaji atupe hela zaid ya tuliokua tunaipata mwanzo
Kwahiyo huyo mwekezaji akishakusanya hizo pesa zaidi wale waliokua wanatuibia watakua wameenda wapi?
 
Hili sio kweli na ndio maana akataka Bwawa la Nyerere lijengwe umeme ulikua hautoshi mahitaji na pia alikua hapendi umeme wa gesi!!

Mgao ulikuwepo sema ulikua hautangazwi so sio kweli umeme ulikua unapatikana wa kutosha.

Kwa serikali hii ya CCM hayo hayawezekani, ila kampuni binafsi hawaoneani aibu maana inatafutwa faida pale sio blah blah.

TANESCO izalishe umeme, imilike Bomba la gesi na mabwawa waishie hapo ila usambazaji kwa mtu mmoja mmoja ufanywe na kampuni binafsi mbona TPDC imefanya hivyo Ina kampuni ya kuuza na kusambaza gesi Ili ije ku compete na sekta binafsi ndio wataacha uzembe.
Serikali isitangaze uwepo wa mgao, tuone Kama hatutajua!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom