Habari zenu humu ndani kwa wale wanaojua wafundaji wazuri wa kufunda mtoto wa kike tafadhali achieni namba zao humu ndani ila mfundaji huyo awe tayari kusafiri kuletwa mkoa wa ajili ya shughuli hiyo.

hahahahaaaaaaaa bestito ndo nimetia timu hapa kuna kazi ya KUFUNDA nimeoona nimeshamwambia aniambie alipo niende nikampe somo maridhawa huyo mgoli wake kama yuko tayari na serious kwani kazi hii ndo inanihusu sana au mamito nimtwangie humuhuumu nini halafu yeye amprintie mwanae akamwambie asome?