Habari, naomba niende kwenye mada.
Nimefanikisha kutengeneza mfumo(system) wa uwekezaji ambapo watu wanakua wanawekeza pesa(kama hisa).
Ni mahsusi kwa mtu Alie nabiashara tayari na anahitaji kukuza mtaji ili kuongeza mzunguko wa pesa na ana uhakika wa pesa kupatikana, piah kwa mtu mwenye uzoefu mzuri na FOREX na anahitaji mtaji mkubwa ili aweze trade na kuongeza faida.
Mfumo unawezesha wawekezaji kuweka hisa zao na ndani ya muda fulani wanarudishiwa kiasi fulan kama faida ka asilimia kadhaa.
Mfumo huu ushawahi kufanya kazi mwanzo; ni tenda tulopewa tutengeneze ila muhusika alijihusisha na upatu zaidi hivyo mwisho alishindwa kuuendesha.
Kwa alietayari karibu tubadilishane mawazo na tuone namna Bora ya kuendesha hii fursa