Mfumo wa pc kuwaka ( pc boot/startup process)

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
BIOS, OS na hardware ni vitu muhimu vinavyotakiwa kuwa viko sawa ili kompyuta iwake bila matatizo.

Kujua mfumo huu kwa undani ni muhimu kwa mtu yeyote anaeteka kujua tatizo(troublesooting) la kompyuta kushindwa kuwaka.

Kujuwa ni vipi BIOS ,OS na Hardware zinawasiliana katika kuwaka itasaidia kuelewa na kutenga sababu ya matatizo haya ya startup

So ni hatua gani kompyuta inapitia kabla ya kuwaka ?????

Soma


Hiyo article ya pili ina detail nzuri na inaweza kumpa mwanga hata mtu mwenye ujuzi mdogo lakini anayependa kujua technical information. Kwa kutumia article hiyo mtu yeyote anweza kujua laptop yake ina shida gani specifically au ujumbe wa tatizo unaotokea kwenye screen una maanisha nini.

So kwa kuelewa mfumo huu utjuta hasa kama tatizo ni OS au ni Hardware. Na ukiua tatizo nilipi basi utajua hatua sahihi za kufikia suluisho bila kupoteza muda mwingi au itakuepusha kutimia trial and errors approach.

NB
Assumption hapa ni windows system lakini hata linux hatua za mwanzo) hatua ni zile zile. Linux startup process - Wikipedia, the free encyclopedia

Karibuni wenye maswali nyongeza kukosoa na mengineyo kuhusu kuwaka kwa kompyuta na ku troubleshot matatizo ya kuwaka.
 
sasante kwa somo lako mi pc yangu aina ya dell nikiwasha inaniambia hard ddisk password then enter na hakuna keypard inayofanya kaz ilianguka
 
Back
Top Bottom