Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Jul 17, 2024 #1 Tangu jana mfumo haurudishi CONTROL NAMBER na hivyo Applicant hawezi kuendelea na Application Process. Wahusika hawajali.
Tangu jana mfumo haurudishi CONTROL NAMBER na hivyo Applicant hawezi kuendelea na Application Process. Wahusika hawajali.
Bigina New Member Joined May 3, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Jul 20, 2024 #2 Na simu zao zote hazipo hewani, mm nimelipia control kupitia wakala wa kibenki, kumbe wao wanahitaji ulipie kupitia mitandao ya simu
Na simu zao zote hazipo hewani, mm nimelipia control kupitia wakala wa kibenki, kumbe wao wanahitaji ulipie kupitia mitandao ya simu