Mfumo wa lawson

Mfumo wa lawson

Joined
Jan 5, 2021
Posts
21
Reaction score
13
Napenda kukutanisha watumishi wa umma mbalimbali na maafisa wanao tumia huu mfumo katika majukumu mbalimbali kupeana hints, maswali na majibu ili kuweza kujiweka mazingira mazuri.

SWALI: Mwenye ufahamu je huu mfumo ushaanza kutomoa masters degree za by thesis (research only ambazo hazina G.P.A)?

SWALI: Kupitia huu mfumo vitu gani vinaongeza credit kwa mtumishi katika kupanda maharaja au kupata promotion na kukua kitaaluma?
 
Napenda kukutanisha watumishi wa umma mbalimbali na maafisa wanao tumia huu mfumo katika majukumu mbalimbali kupeana hints, maswali na majibu ili kuweza kujiweka mazingira mazuri.

SWALI: Mwenye ufahamu je huu mfumo ushaanza kutomoa masters degree za by thesis (research only ambazo hazina G.P.A) ?

SWALI: Kupitia huu mfumo vitu gani vinaongeza credit kwa mtumishi katika kupanda maharaja au kupata promotion na kukua kitaaluma ?
Na mimi nasubiri jibu mkuu
 
Back
Top Bottom