Sio hivo tu,
Umeshwahi kuhudhuria interview za kazi za serikali? yaani sidhani kama ni interview au ni nini? Manake wao kazi yao ni kuuliza maswali ya darasani kwa mfano define, mention, describe etc...!
Mimi niliwahi kuhudhuria interview ya kazi ya serikali baada ya interview nikashindw akujua nilikua kwenye mithani wa darasani au kwenye interview? yaani hakuna maswali ya kiusalhili hata kidogo...!