Kama kichwa kinavyojieleza. Nahitaji mfumo rahisi utakaonirahisishia mahesabu katika kampuni. Yaani uwe na;
Ninachotarajia kukusanya
Nilichokusanya
Nilichotumia
Ninachodai
Ninachodaiwa
Pia kuwepo na break down Kama vile ya mwezi. Yaani nilichotumia kwa mwezi fulani kionekane. Asanteni.
Kwa mawasiliano.. 0621538913
Tafadhani mfumo usiwe complicated.