SoC04 Mfumo wa Elimu utengeneze viongozi na wafanyakazi sahihi

Tanzania Tuitakayo competition threads
Nov 28, 2023
7
7
Tanzania itakuwa yenye maendeleo endapo itakuwa na viongozi na wafanya kazi wazalendo, wasiopenda rushwa, na ambao sio wabinafsi.

Kwa sasa tunapitia changamoto mbalimbali katika kustawi kwa taifa letu kutokana na viongozi na wafanya kazi kukosa sifa nilizozitaja hapo juu lakini chimbuko la viongozi wasio wazalendo, wapenda rushwa na wabinafsi ni mashuleni na vyuo vikuu kwa sababu viongozi na wafanya kazi walioko serikali asilimia kubwa ni viongozi waliosoma, tunaweza kuita viongozi na wafanya kazi wengi katika serikali yetu ni wasomi. Kama ni wasomi kwanini wanafanya haya...
  • Hawajui umuhimu wa uzalendo?
  • Hawajui athari ya rushwa?
  • Hawajui hasara za kuwa mbinafsi?
Jibu ni hapana wanafahamu umhimu wa uzalendo, wanajua athari ya rushwa na wanatambua hasara za kuwa mbinafsi mambo haya aliwahi kusema Raisi wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Benjamini William Mkapa alipokuwa katika umoja wa nchi za SADC japo mhe.mkapa aliongea akiitolea mfano Afrika moja ya sentensi zake alisema afrika ni bara nililojaliwa rasilimali nyingi sana na za kila aina ila limeendelea kubaki maskini kwa sababu ya mifumo mingi ya uongozi ya kiafrika ni ya kibinafsi na kupitia mifumo hiyo ubinafsi tunawaaendekeza wakoloni waliotutawala mwisho wa kunukuu.

(Chanzo director tz Youtube channel)
Ingawa alizungumza kuhusu afrika ila hizo changamoto alizozisema ni changamoto pia zinazolitafuna taifa letu heb fikiria kutokana na changamoto ya kipato cha nchi Raisi anaweza kukopa fedha ili kujenga miundo mbinu, shule, na hospital ila msimamizi wa ile sekta anaiba hela na kwenda kujengwa nyumba yake ya kuishi ama kununulia gari lake haangalii ile pesa ilikuwa isaindie watu wa ngapi ila anachoongalia ni maisha yake

Kwanini viongozi na wafanya kazi wako hivyo?

Jibu ni kuwa wako hivyo kwa sababu

I) Wazazi na jamii iliyokuwa ikimzunguka huyo kiongozi ama mfanya kazi tangu akiwa mdogo ilimwambia asome ili abadilishe maisha yake kwahiyo miaka yote, juhudi zote na michakato migumu na miepesi aliyoipitia wakati anasoma aliamini kuwa anapitia yote haya kwaajili ya maisha yake sio kwaajili ya watanzania na Tanzania.

Mfano mzuri ni chuoni leo watu wengi wanasoma course wanazosoma kwa sababu ya pesa au Kwa sababu ya urahisi wa kupata ajira ila sio kwamba ameona mahali panahitaji mtatuzi au sio kwamba Tanzania ina chamgamoto mahali fulani anasoma hapana anasoma ili abadilishe maisha yake unaposoma kwa sababu ya pesa ukiwekwa kwenye sekta yako utachokipa kipaumbele ni pesa ndio tunakutana na viongozi na wafanya kazi wapenda rushwa, sio wazalendo, na wabinafsi kwa sababu hawakwenda shule ili kulisaindia taifa lao bali kusaindia maisha yao

ii) Mfumo wa elimu ya kikoloni. Dunia kwa sasa iko kwenye mapinduzi ya nne ambayo ni teknolojia. teknolojia inaibadilisha Dunia kutokana na tafiti na gunduzi mbali mbali duniani ukiangalia mfumo wetu wa elimu hausapoti kutufanya sisi wagunduzi bali umejikita sana sana kwenye vyeti mfano mtanzania Benjamin Fernandes amesomomea Stanford Graduate School of Business na mara nyingi amekuwa akialikwa na chuo hicho kwenda kufundisha akiwa anafanyiwa mahojiano na Millard Ayo kupitia kipindi cha amplifaya ya Clouds Fm Millard alimwambia Benjamin anatamani siku moja Benjamin afundishe kwenye vyuo vyetu pia Benjamin Fernandes akasema amejalibu kwenda kuzungumza na wahusika wa vyuo vikuu ila wamekuwa wakikataa na Kuna profesa mmoja akawa amwambia unataka kufundisha kwani wewe PhD yako ulipata wapi? ama utafiti wako uliufanyia wapi? Benjamin Fernandes akaenda mbali akatoa hadi mfano akiwa Stanford university Elon musk amewahi kwenda kuwafundisha ila Elon Musk Hana PhD yoyote ila tu ana udaktari wa heshima ila chuo cha Stanford university humuita kwenda kufundisha mwisho wa kunukuu.

(Chanzo Millard Ayo YouTube channel)
mfumo wetu wa elimu hausapoti haya bali unatufanya kuwa wasoma wa tafiti hizo.

Tunazisoma na kujibia mtihani tu ila mfumo wa elimu yetu hatuwezeshi sisi kuwa wagunduzi kwa sababu elimu ya kikoloni inalenga tuwe wabinafsi ili afrika isiwe na umoja maana hakuna umoja kama mtu atajiwazia yeye kama yeye hakuna umoja kama mtu hatothamini wengine hawezi kuona athari za rushwa kama haangalii wenginen

NINI KIFANYIKE NDANI YA MIAKA 25
i) Jamii na wazazi wapewe elimu ili wanapowaambia watoto kusoma kwa bidii wasitumie njia itakayowafanya wajiwaazie wao bali wajue wanasoma na wanapitia michakato hiyo kwaajili ya watanzania na Tanzania.

ii) Kauli mbio zinazowekwa mashuleni kama motto wa shule uwe wenye kuchochea uzalendo na uwajibikaji kwa taifa sio ubinafsi.

iii) Mfumo wa elimu ubadilike mtihani wa kwenye karatasi usimtambulishe kuwa msomi na anaweza kupewa ajira bali vyeti vitolewe kwa mtu kuonyesha uwezo, ugunduzi na ubunifu kwenye sekta aliyosomea mfano ni elimu iliyokuwa inatolewa kwenye falme ya Mali Karne ya 13 hasa mji wa Timbuktu ambayo iliwafanya wazungu kuja afrika kujifunza
afadhali kuwa na mawe hamsini ya dhahabu kuliko kuwa lori zima kokoto

iv) Elimu ya uzalendo itolewe kuanzi ngazi ya chini mpaka chuo kikuu na iwe yenye kuzingatiwa haswa.

v) Tutengeneze viongozi kuanzia njia ya chini kwa kuzingatia taarifa anazotoa mwalimu anapokuwa chini mpaka elimu ya ngazi ya juu

vi) Tubadilishe mamlaka aliyonayo wakufunzi wa vyuo vikuu maana wamekuwa wakihusika kutengeneza wasomi wasiokuwa na vingezo sahihi ila wanafanya ivo kwa sababu ya maslahi yao binafsi

Naomba kuwasilisha.
 
Sawa, ahsante.

Na kingine tusipende kudhulumu mtu.

Mtu awaye yote, kiongozi au mfanyakazi ayapate maslahi yake binafsi wakati akitimiza wajibu wake kwa nchi.

Ninaona hili suala la mtu kusisitiza kwamba 'ooooh tuangalie maendeleo ya nchi na sio maslahi binafsi' hauna afya. Ni kama tunataka kuwadhulumu viongozi na wafanyakazi haki zao kwa kisingizio cha uzalendo.

Suala ni kila mmoja afaidike, nchi na mtu binafsi. Wazungu hutumia msemo wa WIN WIN.

Uwajibikaji wa raia kwa nchi, na haki za nchi kwa raia wake viende pamoja.
 
Umeongea vyema mkuu wangu kikubwa ni kuwa mfanya kazi anapokuwa amewajibika ipasavyo nae anufaike ila elimu ndio yenye kutusongeza mbele maana mikataba mingi ya nchi inasainiwa na wasomi waliopewa maamlaka na serikali wasipokuwa na elimu sahihi ndio mnakutana na mikataba mimbovu Tanzania ilikuwepo kabla yetu sisi na Tanzania itaendelea kuwepo hata baada ya sisi kupita
 
Kaka unajua rushwa inagarimu maisha ya watu wengi sana hali ni mbaya kaka Kuna sehemu jambo lako linaweza kukwama kama hauko tayari kujiongeza
 
Hii ni mbaya na haifai. Wala sitetei rushwa.

Mla rushwa, na mtoa rushwa wawajibishwe vikali. Sheria ni msumeno
 
Umeongea vyema mkuu wangu kikubwa ni kuwa mfanya kazi anapokuwa amewajibika ipasavyo nae anufaike ila elimu ndio yenye kutusongeza mbele maana mikataba mingi ya nchi inasainiwa na wasomi waliopewa maamlaka na serikali wasipokuwa na elimu sahihi ndio mnakutana na mikataba mimbovu Tanzania ilikuwepo kabla yetu sisi na Tanzania itaendelea kuwepo hata baada ya sisi kupita
Hakika bro. Hakika.
 
Tanzania itakuwa yenye maendeleo endapo itakuwa na viongozi na wafanya kazi wazalendo, wasiopenda rushwa, na ambao sio wabinafsi.

Kwa sasa tunapitia changamoto mbalimbali katika kustawi kwa taifa letu kutokana na viongozi na wafanya kazi kukosa sifa nilizozitaja hapo juu lakini chimbuko la viongozi wasio wazalendo, wapenda rushwa na wabinafsi ni mashuleni na vyuo vikuu kwa sababu viongozi na wafanya kazi walioko serikali asilimia kubwa ni viongozi waliosoma, tunaweza kuita viongozi na wafanya kazi wengi katika serikali yetu ni wasomi. Kama ni wasomi kwanini wanafanya haya...
  • Hawajui umuhimu wa uzalendo?
  • Hawajui athari ya rushwa?
  • Hawajui hasara za kuwa mbinafsi?
Jibu ni hapana wanafahamu umhimu wa uzalendo, wanajua athari ya rushwa na wanatambua hasara za kuwa mbinafsi mambo haya aliwahi kusema Raisi wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Benjamini William Mkapa alipokuwa katika umoja wa nchi za SADC japo mhe.mkapa aliongea akiitolea mfano Afrika moja ya sentensi zake alisema afrika ni bara nililojaliwa rasilimali nyingi sana na za kila aina ila limeendelea kubaki maskini kwa sababu ya mifumo mingi ya uongozi ya kiafrika ni ya kibinafsi na kupitia mifumo hiyo ubinafsi tunawaaendekeza wakoloni waliotutawala mwisho wa kunukuu.

View attachment 2979817
(Chanzo director tz Youtube channel)
Ingawa alizungumza kuhusu afrika ila hizo changamoto alizozisema ni changamoto pia zinazolitafuna taifa letu heb fikiria kutokana na changamoto ya kipato cha nchi Raisi anaweza kukopa fedha ili kujenga miundo mbinu, shule, na hospital ila msimamizi wa ile sekta anaiba hela na kwenda kujengwa nyumba yake ya kuishi ama kununulia gari lake haangalii ile pesa ilikuwa isaindie watu wa ngapi ila anachoongalia ni maisha yake

Kwanini viongozi na wafanya kazi wako hivyo?

Jibu ni kuwa wako hivyo kwa sababu

I) Wazazi na jamii iliyokuwa ikimzunguka huyo kiongozi ama mfanya kazi tangu akiwa mdogo ilimwambia asome ili abadilishe maisha yake kwahiyo miaka yote, juhudi zote na michakato migumu na miepesi aliyoipitia wakati anasoma aliamini kuwa anapitia yote haya kwaajili ya maisha yake sio kwaajili ya watanzania na Tanzania.

Mfano mzuri ni chuoni leo watu wengi wanasoma course wanazosoma kwa sababu ya pesa au Kwa sababu ya urahisi wa kupata ajira ila sio kwamba ameona mahali panahitaji mtatuzi au sio kwamba Tanzania ina chamgamoto mahali fulani anasoma hapana anasoma ili abadilishe maisha yake unaposoma kwa sababu ya pesa ukiwekwa kwenye sekta yako utachokipa kipaumbele ni pesa ndio tunakutana na viongozi na wafanya kazi wapenda rushwa, sio wazalendo, na wabinafsi kwa sababu hawakwenda shule ili kulisaindia taifa lao bali kusaindia maisha yao

ii) Mfumo wa elimu ya kikoloni. Dunia kwa sasa iko kwenye mapinduzi ya nne ambayo ni teknolojia. teknolojia inaibadilisha Dunia kutokana na tafiti na gunduzi mbali mbali duniani ukiangalia mfumo wetu wa elimu hausapoti kutufanya sisi wagunduzi bali umejikita sana sana kwenye vyeti mfano mtanzania Benjamin Fernandes amesomomea Stanford Graduate School of Business na mara nyingi amekuwa akialikwa na chuo hicho kwenda kufundisha akiwa anafanyiwa mahojiano na Millard Ayo kupitia kipindi cha amplifaya ya Clouds Fm Millard alimwambia Benjamin anatamani siku moja Benjamin afundishe kwenye vyuo vyetu pia Benjamin Fernandes akasema amejalibu kwenda kuzungumza na wahusika wa vyuo vikuu ila wamekuwa wakikataa na Kuna profesa mmoja akawa amwambia unataka kufundisha kwani wewe PhD yako ulipata wapi? ama utafiti wako uliufanyia wapi? Benjamin Fernandes akaenda mbali akatoa hadi mfano akiwa Stanford university Elon musk amewahi kwenda kuwafundisha ila Elon Musk Hana PhD yoyote ila tu ana udaktari wa heshima ila chuo cha Stanford university humuita kwenda kufundisha mwisho wa kunukuu.

View attachment 2979818
(Chanzo Millard Ayo YouTube channel)
mfumo wetu wa elimu hausapoti haya bali unatufanya kuwa wasoma wa tafiti hizo.

Tunazisoma na kujibia mtihani tu ila mfumo wa elimu yetu hatuwezeshi sisi kuwa wagunduzi kwa sababu elimu ya kikoloni inalenga tuwe wabinafsi ili afrika isiwe na umoja maana hakuna umoja kama mtu atajiwazia yeye kama yeye hakuna umoja kama mtu hatothamini wengine hawezi kuona athari za rushwa kama haangalii wenginen

NINI KIFANYIKE NDANI YA MIAKA 25
i) Jamii na wazazi wapewe elimu ili wanapowaambia watoto kusoma kwa bidii wasitumie njia itakayowafanya wajiwaazie wao bali wajue wanasoma na wanapitia michakato hiyo kwaajili ya watanzania na Tanzania.

ii) Kauli mbio zinazowekwa mashuleni kama motto wa shule uwe wenye kuchochea uzalendo na uwajibikaji kwa taifa sio ubinafsi.

iii) Mfumo wa elimu ubadilike mtihani wa kwenye karatasi usimtambulishe kuwa msomi na anaweza kupewa ajira bali vyeti vitolewe kwa mtu kuonyesha uwezo, ugunduzi na ubunifu kwenye sekta aliyosomea mfano ni elimu iliyokuwa inatolewa kwenye falme ya Mali Karne ya 13 hasa mji wa Timbuktu ambayo iliwafanya wazungu kuja afrika kujifunza
afadhali kuwa na mawe hamsini ya dhahabu kuliko kuwa lori zima kokoto

iv) Elimu ya uzalendo itolewe kuanzi ngazi ya chini mpaka chuo kikuu na iwe yenye kuzingatiwa haswa.

v) Tutengeneze viongozi kuanzia njia ya chini kwa kuzingatia taarifa anazotoa mwalimu anapokuwa chini mpaka elimu ya ngazi ya juu

vi) Tubadilishe mamlaka aliyonayo wakufunzi wa vyuo vikuu maana wamekuwa wakihusika kutengeneza wasomi wasiokuwa na vingezo sahihi ila wanafanya ivo kwa sababu ya maslahi yao binafsi

Naomba kuwasilisha.
View attachment 2979811
Wakuu nakosa namna ya kuwapa heshima ila binafsi nashukuru sana kwa support yenu na upendo wenu kwangu kwa kunipigia kura na kusupport mawazo yangu Mungu awabariki na kila mmoja amjalie hitaji la moyo wake
 
Back
Top Bottom