Tunahitaji masomo ya ufundi, kilimo na ufungaji yawe razima mashukeni, inasikitisha Sana kwani wanafunzi wengi waliofanya vibaya kidato cha nne hawajui la kufanya... Waziri husika , wadau wa elimi , kunasababu ya kuipitia mitaala ya elimu na kufanya marekebisho.