Maafisa wa uchaguzi nchini Malawi, wanasema kuwa wamelazimika kutumia vipepesi na barua pepe kujumlisha kura za uchaguzi mkuu baada ya mfumo wa elektroniki kuharibika.
Makarani wa tume ya uchaguzi waliopo mashinani wameshindwa kutuma tarakimu za matokeo ya kura hizo.
Haya ndio matatizo ya hivi punde kushuhudiwa katika uchaguzi huo lakini maafisa wamesema wamejitolea kufanya kazi.
Shughuli ya kupiga kura iliongezwa muda kwa siku ya pili
Katika baadhi ya maeneo masanduku ya kura hayakuwasilishwa na baadhi ya vituo vilifunguliwa kuchelewa siku ya jumanne na kulazimisha maafisa kutumia ndoo na katarasi za plastiki kukusanya kura.
Raia wa sasa Joyce Banda anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wagombea wengine kumi na moja.
Baadhi ya vituo vilifungua kuchelewa Jumanne na kusababisha shughuli ya upigaji kura kuongezwa muda kwa siku ya pili.
Rais wa sasa Joyce Banda,anakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa wagombea wengine 11.
Jeshi la Ulinzi la Malawi(MDF) pamoja na Jeshi la Polisi wavamia Nyumbani kwa Mgombea Urais wa Upinzani Peter Mutharika anayeendelea kuongoza kwa asilimia 39 na kufuatiwa na Lazarus Chakwera 31% wa chama cha MCP
Malawi inaendelea kuonyesha jinsi watawala Afrika wasivyokuwa waumini wa Demokrasia
Nimepongeza msimamo mkali aliouonyesha Peter Mutharika na Kumuonya Joyce Banda juu ya jaribio lolote la Kuvuruga uchaguzi
Naibu Waziri Godfrey Kanyama aliyeshindwa Ubunge Huko Lilongwe amejipiga Risasi baada ya kuacha wosia na Suicide Note.Huyu ni Naibu waziri aliyekua mstari wa Mbele katika kukichafua chama cha upinzani cha DPP na kutamka kuwa chama hicho kinachoongozwa na Peter Mutharika ni Ugonjwa Mbaya utakaowaua Wamalawi
Sasa kama jumuiya ya Kimataifa na hasa jumuiya ya SADC kama haitakua makini kukemea tabia hii,taifa la Malawi litaingia katika Machafuko
Chama tawala cha Joyce Banda kinakituhumu chama cha Upinzani cha DPP kuwa kinafanya wizi wa Kura kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi.Leo chama tawala kinatuhumu upinzani kwa wizi wa Kura? Hillarious Indeed...!
Ni shambulio kwa Demokrasia(Assault on Demecracy) kutumia Jeshi kuzima sauti za Wapiga Kura.Hili halitakiwi kuvumiliwa hata kidogo.Kama SADC na Umoja wa Afrika zinakemea Mapinduzi ya Kijeshi (Coup D'tat)basi ni lazima zikemee mapinduzi ya Matakwa ya Umma (Coup Civillien).Kutumia nguvu kuzima sauti za Raia kupitia sanduku la kura hazina tofauti na kupindua tawala zilizochaguliwa Kidemokrasia
As long as namtakia Joyce Banda kushindwa uchaguzi huu,naendelea kuombea Matokeo mema kwa Upinzani na pia Msimamo thabiti dhidi ya Chama Tawala katika kipindi hiki.Tusishangae Joyce Banda akatangaza Hali ya Hatari na kutia doa na aibu nyingine
I don't know what's Wrong with Africa.
Mbona Botswana walipiga kura ndani ya masaa mawili matokeo yalishatoka. wote walipiga kwa njia ya simu, hakuna aliekwenda kituoni labda kwa watu wenye mahitaji maalum sana
Ulianza kufeli Marekani, Ulifeli Malaysia, ukafeli Kenya, na sasa umefeli tena Malawi.
Kwa Tanzania ni sahihi zaidi tukajifananisha na Kenya na Malawi...
Nitashangaa sana endapo tume ya uchaguzi Tanzania wataendelea na mchakato wao wa kuandaa uchaguzi mkuu ujao ufanyike kwa mfumo huo...
======================================
Chanzo:BBC
Wabongo mmechelewa hapa, labda 2020 lakini uchaguzi ujao sio practical kuufanya kielektroniki. Mimi kama mtaalamu wa maswala ya systems na nilihusika pakubwa kwetu Kenya hapa kwenye analysis, jameni sio jambo rahisi. Pia ikumbukwe hili ni jambo linawahusu wanasiasa na wengi wao ufaulu kupitia lack of transparency.
Kaka, system kama hii huwa sio tu maswala ya hardware ama software, bali kuna mengi uhusika kwenye system implementation, haswa kama hii ya inayogusa wanasiasa na ambao wanajijua hawawezi jimudu kwenye fair and transparent approach. Mimi mwenyewe (programmer mzoefu) nilihusika kutengeneza system hapa kwetu kipindi kile tukifanya lobbying, na tulikumbana na mengi. Haswa changamoto nyingimimi sio mtaalam wa computer lakini kwa uelewa mdogo nilionao nashindwa kujua tatizo lilipo, is it a programming problem? (how?), lack of experts or lack of other resources like servers and laptops? hebu fafanua.
Nltaka kushangaa mwanamke kuwaongoza waafrika tena weus tii kwa awam 2 hio haiwezekanUlianza kufeli Marekani, Ulifeli Malaysia, ukafeli Kenya, na sasa umefeli tena Malawi.
Kwa Tanzania ni sahihi zaidi tukajifananisha na Kenya na Malawi...
Nitashangaa sana endapo tume ya uchaguzi Tanzania wataendelea na mchakato wao wa kuandaa uchaguzi mkuu ujao ufanyike kwa mfumo huo...
======================================
Chanzo:BBC
Mbona Botswana walipiga kura ndani ya masaa mawili matokeo yalishatoka. wote walipiga kwa njia ya simu, hakuna aliekwenda kituoni labda kwa watu wenye mahitaji maalum sana