MFUMO WA CAMBRIDGE

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
189
Reaction score
84
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Naomba msaada Kwa anaejua faida za kusoma Kwa mfumo wa Cambridge.
Na shule za A level zinazofundisha Kwa mfumo wa Cambridge.
Na matokeo yake naweza kuyaonaje maana nikiingia website ya necta siyaoni.

nawasilisha mada naombeni msaada wenu.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Pole kwa kutojibiwa muda mrefu!
Nafundisha Cambridge level ya primary school.
Faida za kusoma Cambridge ni kama ifuatavyo kupata scholarship kwenye vyuo vya kimataifa kwa urahisi na kupata ajira za kimataifa kiurahisi.
Madhara ya kusoma Cambridge hapa nchini ni kama ifuatavyo kuna baadhi ya waajiri wanapendelea wanafunzi waliopitia NECTA, ni ngumu kupata mkopo wa kufadhili elimu ya juu na mwisho kabisa ukitaka kubadili mfumo wa matokeo ya Cambridge kuyaleta NECTA grade zinakua chini kidogo.
Nakushauri piga Cambridge iko poa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…