Mfumo mbovu wa serikali ni nini hasa maana yake???

ROMEOWALLACE

New Member
Jun 1, 2012
3
0
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikiliza watu kupitia vyombo vya habari hata pengine nikiwa naongea nao kuhusu maisha mabovu tuliyonayo watanzania yaaani elimu mbovu,miundombinu mibovu,ufisadi na mengineyo...Kila anayejibu alikuwa akisema mfumo mbovu lakini maana halisi ya mfumo (mfumo mbovu) nilishindwa kuipata.Je mnaweza kunisaidia maana yake ili na watanzania wengine wasiojua wapate kujua na hata kama wanajua basi wapate kujua zaidi.
 
Back
Top Bottom