Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,302
- 169,259
BONGOLALA hata sisi hatujawahi kuwa na raia bongolala kama wewe, hata avatar yako inaonyesha ni wapi unakostahili kuwa kwenuTanzania hatujawahi kuwa na raisi!raisi ni kagame
yule akili zimeshashuka chini huwezi mkonsider as a human being
Jibu hoja mahakama ya
kadhi imeathiri mahusiano waliyokuwa nayo watanzania! nani aliasisi
mahakama ya kadhi???
halafu subirini mzee tyson atakavyowalipua leo. mzee wa kuzimia zimia angekuwepo leo naona angekufa kabisa. maana muziki wa nchemba ulishamshinda kitambo
hoja ya mahakama ya kadhi na tanzania kujiunga na oic ilikuwepo hata kabla kikwete hajawa rais wala sisiem haijazaliwa. pia itaendelea kuwepo so long waislam wanaihitaji
mburura ni huu mfumo wa
uongozi unaotegemea majini, mfumo kikwete, majini yana mwisho, mtaumbuka
tu hata kama mnajifanya mmejitoa akili, hamnazo, hamuogopi kitu, ipo
siku na haiko mbali hayo majini yenu yatawakana.
YUpi huyo wa kuzimia Jangwani!!??
Sijazungumzia Kikwete
nazungumzia CCM ya leo ni hatari kwa umoja aliasisi Nyerere na
wenzake!! Una akili za Kikwete kikwete kila mara. CCM ni hatari
!!
du hivi unafikiri kwa sasa kuna chama mbadala wa ccm. me bado sijaona. vyama vingine ni siasa ya maji taka tu
mfa maji ni hao mburula wenu ambao wanajua wameshindwa lakini wanakomaa kibabe, ubabe wao unamwisho, wanajitahidi kutoa macho ya watu ili wasione madudu yao, lakini wanasahau huwezi kushindana na nguvu ya umma ambayo ni nguvu ya Munguhizo ni dalili za mfa maji
Mngekuwa hamlali na kuumia kichwa mpaka kufikia kung'oa watu kucha na meno ili muhakikishe mnaua upinzani, unajua ukweli ni kama kivuli hata ukiukataa utakufuata tu. Endeleeni kujidanganya kwamba hakuna chama mbadala.du hivi unafikiri kwa sasa kuna chama mbadala wa ccm. me bado sijaona. vyama vingine ni siasa ya maji taka tu
Mfumo Kikwete: Ni mfumo kabambe na mahsusi ambao umeelemea kujenga na kutetea maslahi ya tabaka dogo la watu walio kwenye madaraka au marafiki na walioko kwenye madaraka kwa kutumia rasilimali za umma na hata matumizi mabaya ya fedha, rushwa na ufisadi. Ni mfumo wa kibwanyenye na kinyonyaji ambao hautumii juhudi za uzalishaji mali na ubunifu kaztika kuzalisha mali, bali ni mkao wa kimjinimjini na kiujanjaujanja!
Mfumo wa kujijenga kimaslahi na kutetea kwa nguvu zote maamuzi mabovu yanayoliingizia Taifa deni na kutorosha Rasilimali kwa manufaa ya wadau wa Mfumo Kikwete!