singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Mkuu hawaangalii bidhaa moja. Wanaangalia bidhaa zote, za vyakula na zisizo za vyakula. Ukisoma taarifa hiyo kwa makini utaona kilichochangia sana kushusha mfumuko wa bei ni bidhaa zisizo za vyakula kama, petrol, diesel, mafuta ya taa na gas. Kiuhalisia bado bidhaa nyingi za vyakula bei iko juu ikiwa ni pamoja na hiyo sukari uliyotaja.Sukari je?
Hata mimi nashangaa umepungua nini hapo nyama 8000 hadi 7000 Unga 1500 hadi 1000 Michele 2500 mpaka 2300 alafu vitu kama, blue band,sabuni, na vinginevyo ni bei juu bado mtu anaandika kwenye gazeti uharo mtupuUmepungua vipi wakati bidhaa zilizo nyingi bado tunanunua kwa bei ghali. Sukari kg 1 sh. 4,000, nyama kg 1 sh. 9,000, maharage kg 1 sh. 3,000 n.k....then unaleta uharo hapa, eti mfumuko wa bei umepungua.