Analaghaiwa mtoto wa shule wewe, huyo mwanamke mzima mpaka ameolewa unasema analaghaiwa? ni tamaa zake za kushindwa kuridhika na mumewe na huyo jamaa yako amechukua mwanamke ambae si size yake, mke anataka makubwa wakati yeye hawezi kumtimizia, mwambie asubiri ubavu wake, huo amekwapua wa mwenzie