Huo ni UONGOOO mweupe kabisa!
kwanza aliyefanya maamuzi si Maalim Seif ni Baraza la Kuu la CUF na ndio maana hata alipoulizwa ktk press utafanya nini ikiwa CCM wataendeleza ubabe nankurudia uchaguzi utashiriki?alijibu Tutafanya mkutano wa dharura wa baraza kuu na tutatoa maamuzi!!!!!
Hizi ni propaganda za CCM. Kinachoshangaza ni kuwa mmepewa nafasi ya kushinda 100% lakini mnapata wasiwasi. Shida ni nini? Si mmefuta matokeo ili mje kushinda...sasa propaganda za nini? Si mlipaswa kulipuka kwa shangwe maana aliyetishia maslahi yenu ya uongozi kaweka mpira kwapani?
Mwandishi haijui Zanzibar wala family ya Karume! Amani Karume kamuoa Shadya dada yake Mansour (kwa mama mmoja) Na Mansouri kamuoa Asha dada mdogo wa karume (kwa baba mmoja)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.