Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,552
- 64,959
Oa mwenye IQ kubwa mkuu,simaanishi mwenye elimu kubwa bali wenye uelewa mkubwa
Ni kweli mkuu unachosema,ila kwenye ndoa huwa kuna changamoto za hapa na pale,unawezakuta wewe unapenda sana sex kuliko mwenzako,na kupelekea kutoka nje kidogo.Hii haimaanishi unavunja ndoa,bali unaepusha migongano isiyokuwa ya lazima ya kulazimisha tendo ndani ya ndoa.Umeshasema "mke/mme" hlf hapo hapo unazungumzia swala la kuchepuka ilihali mmekua kitu kimoja..si sahihi!
Nafikiri ungesisitiza kuwepo na urafiki kwenye ndoa ukiambatana na tunu ya Uaminifu kwenye mapenzi yenu.
Kwenye Ndoa kila mmoja anatakiwa awe ni rafiki kwa mwenzie na kila mmoja ajione ni rafiki sahihi kwa mwenzake na kusiwepo na kufichana kwa lolote linalopelekea kuhatarisha urafiki huo ndoani!
Kwanini mwanaume ukimbie tatizo ndani ya ndoa yako?Ni kweli mkuu unachosema,ila kwenye ndoa huwa kuna changamoto za hapa na pale,unawezakuta wewe unapenda sana sex kuliko mwenzako,na kupelekea kutoka nje kidogo.Hii haimaanishi unavunja ndoa,bali unaepusha migongano isiyokuwa ya lazima ya kulazimisha tendo ndani ya ndoa.
Hiyo inakuwa ni vita ya kupingana na asiliKwanini mwanaume ukimbie tatizo ndani ya ndoa yako?
Uanaume wako utapimwa katika ishu zipi kwenye maisha ya ndoa?
Kigezo cha utafutaji siyo kigezo pekee ndani ya ndoa kuonesha uhalisi wako bali kukabiliana pia na changamoto za kwenye ndoa. Heshima huja kwa ku-deal na mambo kama hayo!
Vita ambayo wote mme na mke mnapambana kuweka ndoa iwe imara kwa kila silaha na kutokuruhusu wapambe kushadadia ishu zenu!Hiyo inakuwa ni vita ya kupingana na asili
Ata wewe inakuhusu hapo utakapopata mwenza
"Ukiona mke wako hajawahi kujamba mbele yako wala kukusimulia umbea,basi huyo sio rafiki yako",alisikika mlevi mmoja akiwambia wanaumeMfanye mkeo/mumeo kuwa rafiki
Sisi wengine wapembeni ni wanafiki tu, likikukuta la kukuta ni wewe na uliyenaye au familia yako kama iko karibu na wewe. Sisi wengine tutakupamba kwa maneno mazuri labda kwa sababu tunakunywa pombe au kula pamoja, au wewe ni bosi wetu n.k Lakini mambo yakikubadilikia ni wewe na uliyenaye.Ni vizuri kuwajengea uwezo hawa tunaoishi nao iwe mke/ mume/ watoto ili wawe 'backup' pale utakapokuwa na changamoto. Ata kama unachepuka,chepuka kwa akili na uchepuke kwa yule anayejitambua tu.
Umesema jambo la msingi sanaMfanye mkeo/mumeo kuwa rafiki