QUONSIOUS BOY
Member
- May 18, 2014
- 33
- 0
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/662921-mke-wangu-anampenda-gatekeeper.html
Kati ya hiyo hapo juu na hii hapa, tuchangie ipi?
Naona sasa mnalitumia hili jukwaa vibaya, mtawafanya watu makini walikimbie, kama huna kitu cha maana cha kuandika ni bora kupeleka jukwaa la Jokes
Mkuu huyu ni dogo anayesubiri post za form 5 mchek kule jukwaa la elimu kwenye uzi unaohusu post za form 5...asiwasumbue watu wazima hapa
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/662921-mke-wangu-anampenda-gatekeeper.html
Kati ya hiyo hapo juu na hii hapa, tuchangie ipi?
Naona sasa mnalitumia hili jukwaa vibaya, mtawafanya watu makini walikimbie, kama huna kitu cha maana cha kuandika ni bora kupeleka jukwaa la Jokes
We unatutafutia BAN.... Kafie mbali huko...Wana Jf naomben niwaeleze kinacho nisibu, kila nuludipo nyumban kwanu huja mfanyakaz wangu ili kunitengea chakula lakin kila ajapo hua amevaa kanga moja tu bila ya nguo nyingine ya ndani wakati huo mke wangu yupo kazini kwake, wakat mwingine mfanyakaz huyo hua anafikia hata atua ya kunikaribisha bafuni tukaoge .msaada tafadhali
siku ukioa hutokuja hapa na maswali kama haya
Wana Jf naomben niwaeleze kinacho nisibu, kila nuludipo nyumban kwanu huja mfanyakaz wangu ili kunitengea chakula lakin kila ajapo hua amevaa kanga moja tu bila ya nguo nyingine ya ndani wakati huo mke wangu yupo kazini kwake, wakat mwingine mfanyakaz huyo hua anafikia hata atua ya kunikaribisha bafuni tukaoge .msaada tafadhali