KIM JONG
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 213
- 57
Mfanyakazi wa stationery anahitajika. Sifa: Awe amemaliza Kidato cha 4+, awe amesoma kozi za computer au secretarial, awe na uzoefu kuanzia miezi 6.
Mahali: Kisarawe
Mshahara: Mapatano
Marupurupu: sh 5,000 kila wiki - nje na mshahara.
Mfanyakazi atapangishiwa chumba na ataishi hapohapo Kisarawe.
Kwa anayehitaji piga 0656853467
Mahali: Kisarawe
Mshahara: Mapatano
Marupurupu: sh 5,000 kila wiki - nje na mshahara.
Mfanyakazi atapangishiwa chumba na ataishi hapohapo Kisarawe.
Kwa anayehitaji piga 0656853467