Mfanyakazi wa Stationery Anahitajika

PipiJojo

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
227
188
Habari, nahitaji mfanyakazi wa Stationery.
VIGEZO.
-Awe ana ujuzi wa kutumia Computer(ms.office package).
-umri 20-25.
-Jinsia- Kike
-Awe mkaazi wa maeneo ya G/mboto

Kama unahitaji na una vigezo niPM kwa maelekezo zaidi.
 
Nitumie hiyo namba pm hata email ya ofisini ili maombi yatumwe huko

Sent using Jamii Forums mobile app
We mkaka wa Buza una matatizo gani lakini, nimesema pale mwenye uhitaji aniPm nimpe maelekezo zaidi na nimetoa sababu ya kwanini sijaweka namba hapa, unanambia nikutumie namba PM like seriously? Unataka utume maombi kwenye Email utaratibu huo amekupa nani?? Wasiwasi wako ni nini?
 
Well okay, hiyo ni post yangu na ni mimi ndio nilipost kuomba kazi almost miaka mitatu sasa imepita, nashukuru nilipata kazi nimejiendeleza nina Ofisi yangu na sasa ninahitaji msaidizi. Sijaona sababu ya kutafutia pengine wakati mimi nilipata kupitia humu, so thats it.
Explain this...
 
We mkaka wa Buza una matatizo gani lakini, nimesema pale mwenye uhitaji aniPm nimpe maelekezo zaidi na nimetoa sababu ya kwanini sijaweka namba hapa, unanambia nikutumie namba PM like seriously? Unataka utume maombi kwenye Email utaratibu huo amekupa nani?? Wasiwasi wako ni nini?
Nimeshakuja PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante bhana

Naunga uzi kwa shida ya mara moja ambayo haihitaji papara

Kuna kituo cha nursery kipo kigambon, mwalim wake kapata mtoto, hivyo uongozi unahitaji mwalim kwa ajili ya kureplace (parmanent)

Ila wanahitaji mwalim awe anaishi kigambon, akiwa nje ya kigamboni asiusumbue uongozi kuhusu makazi au nauli
Pia awe na certificate au diploma

Mwenye uhitaji, anipm au contact 0689723773

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom