K KAJAVI Member Joined Jan 30, 2014 Posts 27 Reaction score 3 Apr 4, 2014 #1 Home maid anahitajika awe na uwezozuri wa kupika na kufanya usafi hasa wa ndani ya nyumba. Nyumba haina mtoto wala mwanamke hivyo Maneno Maneno hakuna hapo ni kazi kwa heshima na uaminifu. 0766220722 Ni contact
Home maid anahitajika awe na uwezozuri wa kupika na kufanya usafi hasa wa ndani ya nyumba. Nyumba haina mtoto wala mwanamke hivyo Maneno Maneno hakuna hapo ni kazi kwa heshima na uaminifu. 0766220722 Ni contact
abd-rashid nkando JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 208 Reaction score 160 Apr 4, 2014 #2 mshahara bei gani
P Polax Senior Member Joined Mar 10, 2014 Posts 116 Reaction score 6 Apr 4, 2014 #3 Vp wa kike au dume? ?
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,734 Reaction score 9,916 Apr 4, 2014 #4 Duh,hakuna mtoto wala MWANAMKE. Maid ajue kupika vizuri,haya wanakuja lakini................hahaha kazi kweli
Duh,hakuna mtoto wala MWANAMKE. Maid ajue kupika vizuri,haya wanakuja lakini................hahaha kazi kweli
S Sophia bavuma Member Joined Jan 12, 2012 Posts 66 Reaction score 6 Apr 5, 2014 #5 mimi nipo tayari je! wa kwenda na kurudi umtaki nipo mbezi beach.