Pawa chilonda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 375
- 438
Ningeweza ningekuja maana hio kazi ya stationary nimeifanya kwa miaka 3 na kuandaa delivery note na invoice najua vizus tatizo ni umbali niko mwanza mkuuNatafuta mfanyakazi wa Stationery Ambaye anaweza Fanya kazi Singida vijijini
Mshahara Mshahara 120,000/-
Kodi nakulipia miezi 6 matumizi ya mwezi wa kwanza nakupatia godoro na Jiko la kupikia vipo
Kama upo interested njoo pm au piga 0752099595
Vigezo
1. uaminifu
2. Uaminifu
3. Muaminifu
4. Awe anaijua kazi Mengine tutaelekezana
5. Ajue kuandaa invoice na Delivery ( km hajui ataelekezwa)
6. Awe anajua kuhudumia kwa maana ajue namna ya kuwasiliana na wateja
Mengine tutaelekezana
Aiseee ni mbali mkuu, aiseeeNatafuta mfanyakazi wa Stationery Ambaye anaweza Fanya kazi Singida vijijini
Mshahara Mshahara 120,000/-
Kodi nakulipia miezi 6 matumizi ya mwezi wa kwanza nakupatia godoro na Jiko la kupikia vipo
Kama upo interested njoo pm au piga 0752099595
Vigezo
1. uaminifu
2. Uaminifu
3. Muaminifu
4. Awe anaijua kazi Mengine tutaelekezana
5. Ajue kuandaa invoice na Delivery ( km hajui ataelekezwa)
6. Awe anajua kuhudumia kwa maana ajue namna ya kuwasiliana na wateja
Mengine tutaelekezana
Aiseee ni mbali mkuu, aiseee mm computer naijua na hata baadhi ya kazi za stationary naziwez labd note na hikonkingine nitaelekezwa ila.dahNatafuta mfanyakazi wa Stationery Ambaye anaweza Fanya kazi Singida vijijini
Mshahara Mshahara 120,000/-
Kodi nakulipia miezi 6 matumizi ya mwezi wa kwanza nakupatia godoro na Jiko la kupikia vipo
Kama upo interested njoo pm au piga 0752099595
Vigezo
1. uaminifu
2. Uaminifu
3. Muaminifu
4. Awe anaijua kazi Mengine tutaelekezana
5. Ajue kuandaa invoice na Delivery ( km hajui ataelekezwa)
6. Awe anajua kuhudumia kwa maana ajue namna ya kuwasiliana na wateja
Mengine tutaelekezana
Ila da...Nini?!Singida ni mbali na wapi?!Aiseee ni mbali mkuu, aiseee mm computer naijua na hata baadhi ya kazi za stationary naziwez labd note na hikonkingine nitaelekezwa ila.dah
Niko mwanza muda huu, ila.kesho nitakuwa kigoma mkuuIla da...Nini?!Singida ni mbali na wapi?!
Onge na myoa TangazoNiko mwanza muda huu, ila.kesho nitakuwa kigoma mkuu
Sasa kigoma singida !!?
Singida vijijini hafu 120k mtu atoke mkoa mwingine sio kweli labda hpo hapo simgaporeNikikumbuka nilifata kazi Okahandja, Namibia.
Tena mshahara wala hauelezeki ila vijana wa sasa wanasema Singida mbali.
Aisee!