Mwanaginingi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 464
- 400
MSAADA TUTANI.....Nahitaji Mfanyabiashara Anayeuza Vitu vya Electronics Zanzibar kama Vile Camera,Simu,Tv!Anicheck DM
Nitumie no yako nikupe no ya mtu anafanya hiyo kaziMSAADA TUTANI.....Nahitaji Mfanyabiashara Anayeuza Vitu vya Electronics Zanzibar kama Vile Camera,Simu,Tv!Anicheck DM
Nakutumia namb ayangu DM naomba na mm Unitmuie maana na shida na huko ndugu kuna vitu navihitaji sana.utapata wezi Mkuu hii kitu inahitaji umakini kuna baadhi niliwapata wakaingia mitini sasa tupo kujitajidi kuifungua ofisi huko bara tunayo
NIPO ZANZIBAR NICHEK INBOX TUNA KAMPUNI UAMINIFU 100 %MSAADA TUTANI.....Nahitaji Mfanyabiashara Anayeuza Vitu vya Electronics Zanzibar kama Vile Camera,Simu,Tv!Anicheck DM