Habari wakuu? Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara mmoja amenunua vijiji vitatu wilayani Songea, kikiwemo kijiji maarufu cha Matimila. Pengine kwa maslahi ya wengi ninaomba mwenye taarifa za kina atujuze wandugu.

Mkuu Ng'wanangwa hujanielewa. Ndiyo maana nimesema kuna taarifa ya kununuliwa kwa vijiji kule Songea, kama ningekuwa na detail zote ningezimwaga. Naamini wapo wadau ambao wanalielewa suala hili, hivyo si vibaya kuchangia.

habari wakuu? Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara mmoja amenunua vijiji vitatu wilayani songea, kikiwemo kijiji maarufu cha matimila. Pengine kwa maslahi ya wengi ninaomba mwenye taarifa za kina atujuze wandugu.
nimesikia leo asubuhi kwenye radio one nipashe, kuna mwekezaji mwingine tena amenunua ardhi ya kijiji / vijiji (sijui vingapi) huko tanga (kama sikosei), anataka kulima mkonge, watu wameishi hapo for more than 40 years, na sasa wametakiwa kuondoka na walikuwa wanaamishwa kwa nguvu na polisi, kuna bibi mmoja alikuwa analia sasa aende wapi na uzee wake huu?? alitia huruma sana sana!! kwanini serikali haiwajai wananchi wake??