Mfalme haambiliki...

Simulizi nzuri sana, ni matokeo ya watu walio zoea kuishi kimazoea.kama hutabadirika kwa hiari,basi utabadirika kwa nguvu!! Let's simulizi nyingine
 
umejitahidi lakini fasihi yako bado ni changa kwa vile uliijua barabara hadhira yako ina uwezo mkubwa wa kung'amua. haina taswira nzito. umejenga tawasifu kiuepesi hata haimshughulishi msomaji. *hatahivyo malezi bora na kumsikiliza mkufunzi wako mara kwa mara kutakufikisha pazuri
 
Huyo mfalme uchwara inavyoonekana kweli haambiliki, mapembe yamekuwa marefu sana
 

Unaakili sana we jamaa,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…