Mfahamu Thrasymachus

MLALE

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
217
419
Thrasymachus alikuwa ni mwanafalsafa aliyeongelea swala la haki. Alisema kuwa maisha ya DHULUMA ndiyo maisha ya kupendwa kuliko maisha ya
HAKI. Thrasmachus hakuyaona maisha ya dhuluma kama ni udhaifu kitabia.

Yeye aliona mtu anayeishi maisha ya kudhulumu wenzake ni mwerevu kitabia na kiakili. Aliendelea kusema kuwa maisha ya dhuluma hulipa siyo tu katika kipato lakini hasa kwa yale wanayoyaendesha haya maisha na kuyafikisha katika utimilifu wake. Hawa watu wanaoyafikisha haya maisha ya dhuluma katika utimilifu wake wanajiundia mazingira safi ya kuwa wakubwa wa miji yote.
 
Back
Top Bottom