Mfahamu snake eels

Nimefikiria na binadamu ingekuwa ukipiga kitu unadead basi wanaume wote wangekuwa mabikra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je samaki aina ya Zero IQ wapoje
 
Wengne tungewazka hawajaota hata public hair[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefikiria na binadamu ingekuwa ukipiga kitu unadead basi wanaume wote wangekuwa mabikra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo kwenye futi 3000 chini ya ardhi mkuu naona kama inakuwa ngumu kumeza. kumbuka kisima cha futi 12 kwanza au choo cha futi 12 ili uone picha ya futi 3000 chini ya ardhi inakuwaje
 
samaki mkunga nimewatafuna sana Kwa kweli..mto mzinga buza huko,tulikuwa tunaenda kuwaloa,bila kusahau kambale Na perege...
 
Hapo kwenye futi 3000 chini ya ardhi mkuu naona kama inakuwa ngumu kumeza. kumbuka kisima cha futi 12 kwanza au choo cha futi 12 ili uone picha ya futi 3000 chini ya ardhi inakuwaje

Mkuu, ikiwa futi 3000 chini ya ardhi ni ngumu kumeza, je 36,201 ft utaweza kweli??? Inapatikana kwenye bahari ya Pacific, na watu bado wameweza kufika pale chini kabisa na kuona viumbe kama sea cucumbers (matango ya bahari, na hapa sikulishi matango pori! ). Wanatumia submarines (vyambizi?) maalum yenye vifaa vya kuvumilia mazingira ya pale. Kina cha bahari hapa inazidi mlima mrefu duniani, yaani Everest na yetu Killimanjaro inazama karibu mara mbili!!!

Wikipedia : The Mariana Trench or Marianas Trench[1] is located in the western Pacific Ocean about 200 kilometres (124 mi) east of the Mariana Islands, and has the deepest natural trench in the world. It is a crescent-shaped trough in the Earth's crust averaging about 2,550 km (1,580 mi) long and 69 km (43 mi) wide. The maximum known depth is 10,994 metres (36,070 ft) (Β± 40 metres [130 ft]). However, some unrepeated measurements place the deepest portion at 11,034 metres (36,201 ft).[3] By comparison: if Mount Everest were placed into the trench at this point, its peak would still be over two kilometres (1.2 mi) under water.[a]
 
Mkuu mita moja ni sawa na ft 3.

Urefu wa kina kirefu cha bahari ni mita 70906 sawa na urefu wa viwanja 27 vya mpira wa miguu.

Futi 3000 ni nusu tu ya kina kirefu cha bahari,wao huishi katika kina cha ft 3000.

Hapo kwenye futi 3000 chini ya ardhi mkuu naona kama inakuwa ngumu kumeza. kumbuka kisima cha futi 12 kwanza au choo cha futi 12 ili uone picha ya futi 3000 chini ya ardhi inakuwaje
 
Asante mkuu
 
Mkuu mita moja ni sawa na ft 3.

Urefu wa kina kirefu cha bahari ni mita 70906 sawa na urefu wa viwanja 27 vya mpira wa miguu.

Futi 3000 ni nusu tu ya kina kirefu cha bahari,wao huishi katika kina cha ft 3000.
kiwanja cha mpira ni mita 100,100X27=2700 hivo viwanja 27 vya mpira ni mita 2700 au 2.7KM sasa nashangaa hzo mita zako 70906 umezitoa wapi
 
kiwanja cha mpira ni mita 100,100X27=2700 hivo viwanja 27 vya mpira ni mita 2700 au 2.7KM sasa nashangaa hzo mita zako 70906 umezitoa wapi
Calculation errors btw,kuhusu urefu wa bahari kuna coment imeelezea bahari kwa ufasaha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…