Wanaitwa snake eels/ jamii ya mkunga
Hawa ni moja kati ya samaki hatari sana wenye umbo la nyoka kwa kwawaida wanaurefu kufikia futi saba na umbo lilichongoka mbele.
Na kitaalam huu mwendo wake unaitwa ANGUILIFORM LOCAMOTION yaani smooth movement in wave like motion
sasa akiwa atambea ni kama michoro ya S na spidi kali akiona pazito anapiga reverse kwa spidi ileile.
Jina la "EEL" linafahamika kama samaki wenye kutoa voltage za umeme lakini hawa wameitwa eel kwa sababu ya kufanana kiumbo na eel halisi japo wao hawatoi hata cheche(huku ndio kuiba brand)[emoji23][emoji23]
Ni moja samaki wanaojificha sana yaani mara nyingi hukaa chini kabisa ya ardhi kama futi 3,000 na hufanya hvi pia kama mawindo yake ya chakula na kuogopa predators hujificha katika michanga hususani anapowinda.
Hawa ni nocturnal fish yaani usiku ndio wanakuwa active na mchana hawaonekani na pia ni carnivores chakula chao kikuu ni samaki wadogo hasa wale wanaokatiza wakati wa usiku.
pia wanakula na viumbe wengine wadogo waliopo baharini Jinsi wanavyo mmeza samaki baada ya kumkamata huwa wanarudi nyuma huku ngozi yao inajivuta mbele na kutengeneza grand laini ambayo hutoa kama mafuta laini mdomoni kurahisha umezaji wa prey(kama KY)
Sasa wakati wa kutaka kumate ndio kunakua na shughuli kubwa kwa kawaida wanaishi mmoja mmoja na dume ndio mwenye jukumu la kufata jike na umbali wa safari ni miles 4,200 kwenda kumate.(wapo serious)[emoji23][emoji23][emoji23]
Safari hii humchukua dume mpaka miezi 6 kusafiri na wakati wote huu dume anakua hali kabisa.
.
Bati mbaya sana akishafika na wakamate na huo ndio unakua mwisho wa maisha yake hufa na taratibu za maishi huendele (utaratibu huu tungekua nao Zero IQ tungeshamsahau zamani )[emoji23][emoji23]
Na hawa samaki wanaanza maisha katika mfumo wa lavae na huchukua miaka mitatu kuja kua samaki kamili
mating ni mara moja tu in life time[emoji23][emoji23][emoji23]
Na huwa wanaishi kufikia miaka 20-30 wakiwa baharini ila ni nadra sanaa,wana sumu kali kama kawaida ya viumbe vya majini.
Huishi baharini na katika mito mikibwa kwenye maeneo ya kitropiki(tumesoma primary maeneo haya,kazi kwako)