Alichokiunganisha Mungu!!Mdumu na ole wenu naombea tu mechi na Chelsea awepo ole wenu na arsenal pia awepo yaani muishi naye mfunge naye ndoa ya kikirsto
Zamani vitimu kama Arsenane tulikuwa hatuvifikirii kabisa maana ilikuwa bandika bandua tunajipigia tu hata tupange mabeki 8 tunashinda,lkn eti tangu aingie aterta hatujawahi wafunga arsenane nina hasira sana na oleMakosa afanye maguire lawama kwa ole!
mkishinda sifa kwa ronaldo na bruno.
viungo wenyewe wamechoka mbaya njooni emirates tuwape ata niles kwa mkopo.
#COYG
Hili pia mimi linaniumiza moyo sanaZamani vitimu kama Arsenane tulikuwa hatuvifikirii kabisa maana ilikuwa bandika bandua tunajipigia tu hata tupange mabeki 8 tunashinda,lkn eti tangu aingie aterta hatujawahi wafunga arsenane nina hasira sana na ole
Mpaka Spurs tawi letu wanatupiga 6 OT kweli??Hili pia mimi linaniumiza moyo sana
Zamani lini?Zamani vitimu kama Arsenane tulikuwa hatuvifikirii kabisa maana ilikuwa bandika bandua tunajipigia tu hata tupange mabeki 8 tunashinda,lkn eti tangu aingie aterta hatujawahi wafunga arsenane nina hasira sana na ole
Ole alikuwa moja ya super sub Kali kuwahi tokea pale United .Kwenye ukocha Ole anatakiwa apumzishwe ila kwenye enzi zake za uchezaji mashabiki wa kipindi hicho alitupa kitu roho inapenda. Itoshe kusema ukiwa mchezaji ulikua kipenzi cha old traford "baby face killing asasin" kwenye ukocha amepewa mda wa kutosha lakini hajapata fiest eleven team mpaka leo. Tumponde pale kwenye kumponda tulikupenda sana ukiwa mchezaji ila kwenye ukosha too much disapoitment.
Maswali ya kijinga hayajibiki mkuuZamani lini?
Piers Morgan aliwahi kutweet 'Moyes is sacked for losing the dressroom which he never found'Sawa alikuwa na matarajio nae makubwa sababu anaijua philosophy ya United lkn ka prove felia
Siyo tangu aingie Arteta kumbuka vizuri.Zamani lini?
Wakati wa Sir Alex tuliwafunga arsenane kwenye Carring cup siku hiz Carrabao cup 2:0 tukiwa na mabeki 8Siyo tangu aingie Arteta kumbuka vizuri.
Lini united mlichezesha mabeki 8?
Gary Neville ni takataka kama takataka zinginePiers Morgan aliwahi kutweet 'Moyes is sacked for losing the dressroom which he never found'
Juzi katweet 'Moyes should have been given time'
Gary Neville akawa wa kwanza kutuonyesha unafiki wa Morgan. Kwanini kwa Rio tujifiche?
Mechi ya mwaka gani?Wakati wa Sir Alex tuliwafunga arsenane kwenye Carring cup siku hiz Carrabao cup 2:0 tukiwa na mabeki 8
Kumuacha hapana kapewa mda mzuri sana lakini yeye anafanya ujinga.Ole alikuwa moja ya super sub Kali kuwahi tokea pale United .
Yaani akiingia tu hesabu ana goli
Wamwache ole wetu
#KTBFFH