Salma Khan alipokuwa na Aishwarya Rai alitulia na alikuwa tayari kuoa kabisa ....sema Tu Yule demu alimuona "keshazeeka" Hana maajabu...ndo akahamia Kwa Vivek Oberoi kabla hajambwaga akaenda kuolewa na Abishek Bachan.....Katrina alikuwa kama anajaribu ziba Pengo la Aishwarya lakini hakuweza....bado anaumia kumkosa Aishwarya RaiAnaitwa Vivek Oberoi ali act kama adui kwenye filamu ya Krrish 3 alikuwa anatumia jina la Kaal.
Salman Khan huwa ana bahati ya kupata mademu visu sana tatizo lake ana ubabe ubabe wa kijinga kwa mademu ndio maana wana mkimbia, pia kicheche sana.
Mpaka sasa Salman Khan hajaoa na hana mtoto, couple yake na Katrina Kaif ilikuwa inavutia sana ila alizingua demu akasepa.
Kweli.Hance umetupiga cha utosi. Kajol na Rani ni cousins
Yani mpaka mababu zake na mabibi zake walikuwa waigizaji.Familia ya wasanii hii..
Huyu Dada ana kipaji kizuri cha uigizaji , mwamba wa Bollywood huyu..
Lara DutaAishwarya Rai aliwahi kuwa miss world 1994 .
Priyanka nilikuwa sijui kama na yeye alishawahi kuwa miss world.
Salman kamkung'uta sana makofi huyo demu alipoachwa akili ikamkaa sawa ,alijutia sana yani kumkosa Aishwarya Rai.Salma Khan alipokuwa na Aishwarya Rai alitulia na alikuwa tayari kuoa kabisa ....sema Tu Yule demu alimuona "keshazeeka" Hana maajabu...ndo akahamia Kwa Vivek Oberoi kabla hajambwaga akaenda kuolewa na Abishek Bachan.....Katrina alikuwa kama anajaribu ziba Pengo la Aishwarya lakini hakuweza....bado anaumia kumkosa Aishwarya Rai
Hahaaaa kama Uday Chopra na Priyanka Chopra au kina Khan Salman, Sharukh, Seif Ali, Aamir na wengineo. Kuchkuch ni bonge la movie walijua kuigiza ila mimi siipendagi kihivyooo.Kweli.
Nimefuatilia nimehakiki ni cousins.
Ila kwenye Kuch Kuch walitendea haki sana hawa wawili .
Achilia mbali Rani na Kajol,Shilpa Shetty na Sunil kwa muda mrefu nao nilikuwa najua ni ndugu licha ya kucheza kama wapenzi kwa filamu kadhaa kama Dhadkan kumbe hawana udugu wowote hata wa kusingiziwa.
Pretty Zinta zile dimpoz zake zinavutia sana.Napenda macho yake aisee
Na ya Pretty Zinta..
ItakuwaSidhani..
Nafikiri kinacho mcost hatoki familia maarufu za waigizaji...
Angekuwa anaitwa Ajay Khan au Ajay Kapoor. Au Ajay Kumar...basi wala asingesemwa hivyo
Mkuu acha kabisa hizo pisiWahindi wengi wazuri sana ,hapo bado hujamgusa Priyanka Chopra, Bipasha Basu, Katrina Kaif, Aishwarya Rai Batchan, Pretty Janghan, Pretty Zinta nk
We unapenda ipi??Hahaaaa kama Uday Chopra na Priyanka Chopra au kina Khan Salman, Sharukh, Seif Ali, Aamir na wengineo. Kuchkuch ni bonge la movie walijua kuigiza ila mimi siipendagi kihivyooo.
πππππππππHana mvuto kwenye matangazo ya biashara kakaa kikora sana
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Umeshaichoka kwa sababu ππππππHahaaaa kama Uday Chopra na Priyanka Chopra au kina Khan Salman, Sharukh, Seif Ali, Aamir na wengineo. Kuchkuch ni bonge la movie walijua kuigiza ila mimi siipendagi kihivyooo.
Manisha Koilala noma sana yule demu, kiuno nyigu πππππππMkuu acha kabisa hizo pisi
Kuna manisha koilala
Amili kani kwenye ile movie alifanya nichukie mapenzi lakini mwisho wa siku nikasema wote ni waduazi wanigiza tu katika movie.Manisha Koilala noma sana yule demu, kiuno nyigu πππππππ
Nilimkubali sana kwenye Jaan Dushman ,pia kuna Ile Akele hum Akele Tum na Amir Khan alifanya vizuri sana .
Kumbe maisha yao ya kimahusiano ni kama mastaa wa Hollywood na bongo movie tu.Salma Khan alipokuwa na Aishwarya Rai alitulia na alikuwa tayari kuoa kabisa ....sema Tu Yule demu alimuona "keshazeeka" Hana maajabu...ndo akahamia Kwa Vivek Oberoi kabla hajambwaga akaenda kuolewa na Abishek Bachan.....Katrina alikuwa kama anajaribu ziba Pengo la Aishwarya lakini hakuweza....bado anaumia kumkosa Aishwarya Rai
Salma Khan alipokuwa na Aishwarya Rai alitulia na alikuwa tayari kuoa kabisa ....sema Tu Yule demu alimuona "keshazeeka" Hana maajabu...ndo akahamia Kwa Vivek Oberoi kabla hajambwaga akaenda kuolewa na Abishek Bachan.....Katrina alikuwa kama anajaribu ziba Pengo la Aishwarya lakini hakuweza....bado anaumia kumkosa Aishwarya Rai
Hapana ..
Alinyang'anywa Karishma Kapoor na Salman Khan...baadae Salman akampiga chini Karishma akaenda beba Aishwarya Rai... Aishwarya Rai nae akampiga chini Salman akaenda chukuliwa na jamaa underground alikuwa anaitwa Oberoi something baadae akampiga chini huyo Oberei akaja olewa na mtoto wa Amitabh Bachan....
Hawa waigizaji walikuwa wanatoka kwenye makundi ya "micharuko"..Tunaambiwaga wahindi wanaolewa bikra kumbe uongo