Kuna jamaa mtaani watu hawajui mishe zake anashinda na PC na simu. Kumbe ni Public Representative wa msanii flani na hakai sana ofisini. Majirani walipomuona nae kwenye clip Insta wakasema ni chawa, kumbe jamaa ndio anapost vitu vingi vya yule msanii ila hakutaka wajue wasisumbue kutaka tag