Mfahamu Job Yustino Ndugai

Ndio mana tunasema wasomi kutoka bara it is good for nothing wanafanya mambo ya hovyo sana, pesa kwao ni bora kuliko taaluma zao
Hivyo bora wa visiwani? Au nimeelewa vibaya.
 
Kumbe sio mtaalamu wa sheria!
 
Jamani mie naomba tu mnipe maujanja nipenye vipi nifike hukoooo!! kwenye uwaziri baadaye Urais!! yaani ..... Mauwezo ninayo km yote!! huwaga naota mpaka nachanganyikiwa mwee!
 
... kumbe ni agemate wa mtukufu? Naona nyota zimezinguana mambo ya ulimwengu wa roho hayo! Tunachokiona katika ulimwengu wa kimwili ni matokeo tu; vita halisi vinapiganwa huko kwenye "anga za mbali".
Apumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…