Mfahamu Evelyn Salt Mwanadada Aliyepost Picha Kali za Uongo Hapa JF

Kweli dunia ina mambo na vijambo leo nmeanzisha thread watu wapost pic zao Evelyn Salt akapost picha iliyonistua huwezi amini lakini amini usiamini Evelyn Salt ni star mwenye pesa chafu huko uingereza ambae anafahamika kwa jina la Sara Ianni Sharif

Picha aliyopost:

View attachment 140568

thread hii hapa:Tujuane kwa sura tupia pic zako

Picha halisi za mwanada sara ianni sharif ni hizi

attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php
nimerudiarudia kusoam ujumbe uliokusudiwa kuna mahala umekosea ama sielewi? ebu pitia tena uzi weka na hizo picha angalia kama ziko mahala sahihi kama kusudi lako ni sahihi
 
Back
Top Bottom