Mfahamu Eliza, Binti mrembo anayesambaza VVU kwa makusudi

mi wa hivyo napigaga tu peku!
hata yule mrefu mweupe mwenye meno ya kuungua aliyekuwa anafanya kazi baa ya half London hapo kakola nilishapigaga peku nikala mpaka huu mtandao wenye "Tecno y3"
sasa ngoja Leo nimsake huyo eliza ntakupeni mrejesho!
 
nimeshamuonya huyu binti zaidi ya mara kumi kuwa aache kuambukiza watu hiv makusudi lakini ni kiburi sana na amedhamiria kuwafyeka wanaume wote wakware.

Anaishi kakola km 75 kutoka kahama mjini ambako kuna mgodi mkubwa wa dhahabu na migodi mingine midogo ya wachimbaji wadogo wa gold,anafanya kazi ktk baa ya new peace.

Ni mzuri sana wa sura, umbo namba nane, rangi ya chocolate, ukimuona utadhani ni mnyarwanda, urembo wake wa sura ya baby face na tak* kubwa la kufa mtu ambapo akitembea hutikisa lenyewe automatically ndo vinawafanya vijana wenzangu waogolee kwenye moto bila kujua.

Ni wachache mno huko kakola wanaomjua eliza kuwa tayari kaugua. Kwa mkazi yeyote wa kakola ambaye hataamini aende ktk kituo cha afya cha lunguya siku ya alhamisi ktk wk yoyote ile, atakutana na eliza huko kafuata dozi ya kupunguza makali.

Mwezi jana eliza kamuambukiza hiv kijana mmoja mchimbaji mdogo (note, eliza si jina lake halisi).

Kazi kwenu vijana wakware,la mgambo limelia, kila anayefika kakola tahadhari kwake na kwingine pia, tujilinde.
kwahiyo kama si eloza dadakoo amaa??**

unapotezaje.mda kuandoka.nsha ndefu kwa.jina feki..
 
Hivi anawaua au wanajiuwa? Hivi wewe ukinywa sumu ya kuulia panya utasema kampuni iliyotengeneza sumu imekuua? Hivi huyo eliza anawabaka wanaume? Au anafedha nyingi anawanunua ili awaambukize? (ALIYE KANDO HAANGUKIWI NA MTI)

Unapokwenda kunywa soda utajuaje Ina sumu?
 
Nimeshamuonya huyu binti zaidi ya mara kumi kuwa aache kuambukiza watu HIV makusudi lakini ni kiburi sana na amedhamiria kuwafyeka wanaume wote wakware.

Anaishi Kakola km 75 kutoka Kahama mjini ambako kuna mgodi mkubwa wa dhahabu na migodi mingine midogo ya wachimbaji wadogo wa gold,anafanya kazi ktk baa ya NEW PEACE.

Ni mzuri sana wa sura, umbo namba nane, rangi ya chocolate, ukimuona utadhani ni mnyarwanda, urembo wake wa sura ya baby face na tak* kubwa la kufa mtu ambapo akitembea hutikisa lenyewe automatically ndo vinawafanya vijana wenzangu waogolee kwenye moto bila kujua.

Ni wachache mno huko Kakola wanaomjua Eliza kuwa tayari kaugua. Kwa mkazi yeyote wa Kakola ambaye hataamini aende ktk kituo cha afya cha Lunguya siku ya alhamisi ktk wk yoyote ile, atakutana na Eliza huko kafuata dozi ya kupunguza makali.

Mwezi jana Eliza kamuambukiza HIV kijana mmoja mchimbaji mdogo (note, Eliza si jina lake halisi).

Kazi kwenu vijana wakware,la mgambo limelia, kila anayefika Kakola tahadhari kwake na kwingine pia, tujilinde.

Ishi katika Amri Kumi za Mungu, utayakwepa yote hyo
 
Sasa wewe umejuaje eliza kawaka kama na wewe hutumii hizo dawa? Alafu hii ya kusema jamaa kaambukizwa mwezi mmoja uliopita mhhh hapo kuna walakini,hata hivyo asante kwa taarifa itabidi watu wawe na tahadhari wakikutana naye wasitembelee rimu
 
Kama anatumia ARV kwa usahihi uwezo wake wa kuambukia utakuwa umepungua kwa asilimia fulani. Madaktari mje mtoe elimu huku inaonekana wengi elimu ya UKIMWI inatupiga chenga.

Halafu kumtaja mtu kwa jina hivyo si ndio unyanyapaa tunaoupigia kelele huo?

Unajuaje kama anawaambukiza anaotembea nao? Labda nao tayari wana maambukizi?

Ni kweli matmizi sahihi ya ARV hufubaza virusi kwa maana ya kupunguza kasi ya kuzaliana na kupunguza ukali,ila cha msingi wakati wa kujamiana ni vyema kuhakikisha hakuna mchubuano,yaana kuchubuana ndiyi source kubwa ya maambukizi ya HIV bila ya kujali muathirika anatumia ARV au la?
 
mi wa hivyo napigaga tu peku!
hata yule mrefu mweupe mwenye meno ya kuungua aliyekuwa anafanya kazi baa ya half London hapo kakola nilishapigaga peku nikala mpaka huu mtandao wenye "Tecno y3"
sasa ngoja Leo nimsake huyo eliza ntakupeni mrejesho!

Mhhhhh kweli mjasili haachi asili
 
Back
Top Bottom