IshaLubuva
JF-Expert Member
- Dec 4, 2008
- 250
- 11
MKAZI wa jijini Dar es Salaam anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50, amelipa faini ya Sh30,000 baada ya kupatikana na hatia ya kutoa uume hadharani, kumlowesha kwa mbegu za kiume, abiria wa kike aliyekuwa akisafiri naye katika daladala. Hali hii kule Zenji hujulikana kama kugandisha;
Kwa habari zaidi bofya hapa:
http://www.mwananchi.co.tz/biashara/13-biashara-za-kitaifa/3843-mwanaume-atia-aibu-kwenye-daladala
Kwa habari zaidi bofya hapa:
http://www.mwananchi.co.tz/biashara/13-biashara-za-kitaifa/3843-mwanaume-atia-aibu-kwenye-daladala