Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Jan 16, 2016 #1 AfyaYako Mfadhaiko (Depression) wathibitishwa kwa mara ya kwanza kuwa na uhusiano na protini maalumu Matokeo ya utafiti mpya yaliyotolewa kwenye jarida la taasisi ya sayansi ya Marekani yanaonesha kuwa watafiti wamegundua kuwa protini ya aina ya FGF9 inahusiana na mfadhaiko. Watafiti wamegundua kuwa kwenye sehemu muhimu ya ubongo, kiwango cha protini ya FGF9 ya watu wanaopata mfadhaiko ni juu kuliko cha watu wa kawaida. Utafiti huo umegundua kuwa ongezeko la protini hiyo mwilini litasababisha mfadhaiko, na kama mtu akikabiliana na shinikizo, kiwango cha protini hiyo pia kitaongezeka. Kundi la watafiti limetangaza kuwa wataweza kutafuta dawa mpya ili kudhibiti protini ya FGF9 kwenye mwili wa watu wanaokabiliwa na mfadhaiko. Ukiwa na Shida yoyote ile unaweza kunitafuta Kwa mawasiliano Kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
AfyaYako Mfadhaiko (Depression) wathibitishwa kwa mara ya kwanza kuwa na uhusiano na protini maalumu Matokeo ya utafiti mpya yaliyotolewa kwenye jarida la taasisi ya sayansi ya Marekani yanaonesha kuwa watafiti wamegundua kuwa protini ya aina ya FGF9 inahusiana na mfadhaiko. Watafiti wamegundua kuwa kwenye sehemu muhimu ya ubongo, kiwango cha protini ya FGF9 ya watu wanaopata mfadhaiko ni juu kuliko cha watu wa kawaida. Utafiti huo umegundua kuwa ongezeko la protini hiyo mwilini litasababisha mfadhaiko, na kama mtu akikabiliana na shinikizo, kiwango cha protini hiyo pia kitaongezeka. Kundi la watafiti limetangaza kuwa wataweza kutafuta dawa mpya ili kudhibiti protini ya FGF9 kwenye mwili wa watu wanaokabiliwa na mfadhaiko. Ukiwa na Shida yoyote ile unaweza kunitafuta Kwa mawasiliano Kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,999 Jan 16, 2016 #2 MziziMkavu said: View attachment 317170 AfyaYako Mfadhaiko (Depression) wathibitishwa kwa mara ya kwanza kuwa na uhusiano na protini maalumu Matokeo ya utafiti mpya yaliyotolewa kwenye jarida la taasisi ya sayansi ya Marekani yanaonesha kuwa watafiti wamegundua kuwa protini ya aina ya FGF9 inahusiana na mfadhaiko. Watafiti wamegundua kuwa kwenye sehemu muhimu ya ubongo, kiwango cha protini ya FGF9 ya watu wanaopata mfadhaiko ni juu kuliko cha watu wa kawaida. Utafiti huo umegundua kuwa ongezeko la protini hiyo mwilini litasababisha mfadhaiko, na kama mtu akikabiliana na shinikizo, kiwango cha protini hiyo pia kitaongezeka. Kundi la watafiti limetangaza kuwa wataweza kutafuta dawa mpya ili kudhibiti protini ya FGF9 kwenye mwili wa watu wanaokabiliwa na mfadhaiko. Ukiwa na Shida yoyote ile unaweza kunitafuta Kwa mawasiliano Kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano Click to expand... Mimi Nina mawazo yalopitiliza
MziziMkavu said: View attachment 317170 AfyaYako Mfadhaiko (Depression) wathibitishwa kwa mara ya kwanza kuwa na uhusiano na protini maalumu Matokeo ya utafiti mpya yaliyotolewa kwenye jarida la taasisi ya sayansi ya Marekani yanaonesha kuwa watafiti wamegundua kuwa protini ya aina ya FGF9 inahusiana na mfadhaiko. Watafiti wamegundua kuwa kwenye sehemu muhimu ya ubongo, kiwango cha protini ya FGF9 ya watu wanaopata mfadhaiko ni juu kuliko cha watu wa kawaida. Utafiti huo umegundua kuwa ongezeko la protini hiyo mwilini litasababisha mfadhaiko, na kama mtu akikabiliana na shinikizo, kiwango cha protini hiyo pia kitaongezeka. Kundi la watafiti limetangaza kuwa wataweza kutafuta dawa mpya ili kudhibiti protini ya FGF9 kwenye mwili wa watu wanaokabiliwa na mfadhaiko. Ukiwa na Shida yoyote ile unaweza kunitafuta Kwa mawasiliano Kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano Click to expand... Mimi Nina mawazo yalopitiliza
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,014 Jan 17, 2016 #3 kwa kiswahili depression wanaita sonona. huo ugunduzi utakuwa hatua kubwa sana.