DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA MPANDA HAIDARY H. SUMRY ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MPANDA MJINI
Aliekua Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda 2020-2025 Mh. Haidary H. Sumry ambae pia ni Mjumbe wa baraza kuu la jumuiya ya Wazazi Taifa kutokea mkoa wa Katavi, leo tarehe 29/6/2025 amejitokeza kuchukua fomu ya ubunge wa jimbo la Mpanda mjini katika ofisi za CCM wilaya ya Mpanda.