Meya wa Kinondoni Mhe.Boniface Jacob afutiwa mashitaka

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
MAHAKAMA YA MKOA MOROGORO YA MWACHIA HURU,MEYA KINONDONI Mh. Boniface Jacob NA WENZAKE 10

Leo siku ya jumanne ya tarehe 03 May 2016, muda huu (saa Nne asubuhi) ,mahakama ya mkoa Morogoro,imemwachia huru Mstahiki Meya Manispaa ya Kinondoni, Mhe. Boniface Jacob na wenzake 10, katika kesi namba 156 ya mwaka 2015,iliyokuwa inawakabili juu ya mkusanyiko usiohalali"unlawful assembly" iliyokuwa ikisikilizwa mkoani Morogororo,mbele ya Mheshimiwa Hakimu ERIC RWEHUMBIZA.

Aidha kufutwa kwa kesi hii namba 156 ya mwaka 2015,ni kutafanya watuhumiwa kuwa huru,baada ya kufutwa pia kesi namba 157 ya mwaka 2015 mahakama ya mkoa Morogoro,ilikuwa pia inamkabili Mhe. Boniface Jacob kwa shitaka la kuendesha mafunzo ya "RED BRIGADE" katika wilaya ya Mvomero na Morogoro mjini.

Kufutwa kwa kesi zote mbili 156 na 157, kumelete shangwe na furaha katika viwanja vya mahakama ya mkoa Morogoro.

Mstahiki Meya wa Kinondoni Mhe.Boniface Jacob yupo njiani kurejea Dar es salaam,kwa majukumu yake ya kawaida.

Kutoka Mahakamani-Morogoro
Chadema Media
 
Fujo imekuwa moja ya sifa za kumfanya kijana wa CHADEMA kuaminiwa na kupewa uongozi. Sugu, Lema, Msigwa, Mnyika watadumu sana. Wote wanaojifanya wasomi, wenye siasa za kistaaratu wataendelea kuisoma namba.
Ben Saanane, Yeriko Nyerere, Michael Aweda badilikeni huko kigezo siyo shule, kigezo nimekitaja. Hata Katibu wenu mkuu aliwahadaa kuwa ndiye aliyeongoza mgomo wa Madaktari akaaminiwa.
 
Umekata fyuzi mkuu, kuna upande soketi hazina umeme.
 
Lakini Tanzania bara hatuna mahakama ya mkoa. Kuna Mahakama ya Mwanzo, Mahakama ya Wilaya, Mahakama ya Hakimu Mkaazi, Mahakama Kuu, na Mahakama ya Rufaa. Bila shaka utakuwa unamaanisha Mahakama ya Hakimu Mkaazi Morogoro
 
Fujo imekuwa moja ya sifa za kumfanya kijana wa CHADEMA kuaminiwa na kupewa uongozi. Sugu, Lema, Msigwa, Mnyika watadumu sana. Wote wanaojifanya wasomi, wenye siasa za kistaaratu wataendelea kuisoma namba.
Ben Saanane, Yeriko Nyerere, Michael Aweda badilikeni huko kigezo siyo shule, kigezo nimekitaja. Hata Katibu wenu mkuu aliwahadaa kuwa ndiye aliyeongoza mgomo wa Madaktari akaaminiwa.
Mbona huja mtaja Ndugai? acha double standard ccm ni wa ajabu kweli kweli kosa kwa wengine sawa likija kwao si kosa, hovyo tu.
 
Walikuwa wanataka kurudisha nyuma kasi ya kuweka hadharani maswala ya UDA ili ufisadi wa ccm usionekane, mahakama wamechomoa, heko Jacob rudi kapige kazi mpaka uchafu wote wa jiji uliofanywa na ccm uwe hadharani.
 
Fujo imekuwa moja ya sifa za kumfanya kijana wa CHADEMA kuaminiwa na kupewa uongozi. Sugu, Lema, Msigwa, Mnyika watadumu sana. Wote wanaojifanya wasomi, wenye siasa za kistaaratu wataendelea kuisoma namba.
Ben Saanane, Yeriko Nyerere, Michael Aweda badilikeni huko kigezo siyo shule, kigezo nimekitaja. Hata Katibu wenu mkuu aliwahadaa kuwa ndiye aliyeongoza mgomo wa Madaktari akaaminiwa.

Kweli kabisa na hasa wakiwa katika hizi unifomu.........

police%20officer%20firing%20explosive%20round%20into%20journalist%20daudi%20mwangosi%20(wavuticropped.jpg
 
Fujo imekuwa moja ya sifa za kumfanya kijana wa CHADEMA kuaminiwa na kupewa uongozi. Sugu, Lema, Msigwa, Mnyika watadumu sana. Wote wanaojifanya wasomi, wenye siasa za kistaaratu wataendelea kuisoma namba.
Ben Saanane, Yeriko Nyerere, Michael Aweda badilikeni huko kigezo siyo shule, kigezo nimekitaja. Hata Katibu wenu mkuu aliwahadaa kuwa ndiye aliyeongoza mgomo wa Madaktari akaaminiwa.
Umbea umekupa sifa ya kuajiliwa kwenye Lumumba bk7 na wale 46 + 1 wa JK
 
Fujo imekuwa moja ya sifa za kumfanya kijana wa CHADEMA kuaminiwa na kupewa uongozi. Sugu, Lema, Msigwa, Mnyika watadumu sana. Wote wanaojifanya wasomi, wenye siasa za kistaaratu wataendelea kuisoma namba.
Ben Saanane, Yeriko Nyerere, Michael Aweda badilikeni huko kigezo siyo shule, kigezo nimekitaja. Hata Katibu wenu mkuu aliwahadaa kuwa ndiye aliyeongoza mgomo wa Madaktari akaaminiwa.
Haya kawaambie mahakama ya morogoro toa upuuzi wako humu na kihelehele cha kike.
 
Fujo imekuwa moja ya sifa za kumfanya kijana wa CHADEMA kuaminiwa na kupewa uongozi. Sugu, Lema, Msigwa, Mnyika watadumu sana. Wote wanaojifanya wasomi, wenye siasa za kistaaratu wataendelea kuisoma namba.
Ben Saanane, Yeriko Nyerere, Michael Aweda badilikeni huko kigezo siyo shule, kigezo nimekitaja. Hata Katibu wenu mkuu aliwahadaa kuwa ndiye aliyeongoza mgomo wa Madaktari akaaminiwa.

ndugai kapata uspika kwa kumkong'oli mtu na gongo, vp yule aliyemniga warioba! sasa ni bosi wa mkoa
 
Fujo imekuwa moja ya sifa za kumfanya kijana wa CHADEMA kuaminiwa na kupewa uongozi. Sugu, Lema, Msigwa, Mnyika watadumu sana. Wote wanaojifanya wasomi, wenye siasa za kistaaratu wataendelea kuisoma namba.
Ben Saanane, Yeriko Nyerere, Michael Aweda badilikeni huko kigezo siyo shule, kigezo nimekitaja. Hata Katibu wenu mkuu aliwahadaa kuwa ndiye aliyeongoza mgomo wa Madaktari akaaminiwa.
mbona umeazima akili au sio wewe unayeongea pumba
 
MAHAKAMA YA MKOA MOROGORO YA MWACHIA HURU,MEYA KINONDONI NA WENZAKE 10

Leo siku ya jumanne ya tarehe 03 May 2016, muda huu (saa Nne asubuhi) ,mahakama ya mkoa Morogoro,imemwachia huru Mstahiki Meya Manispaa ya Kinondoni, Mhe. Boniface Jacob na wenzake 10, katika kesi namba 156 ya mwaka 2015,iliyokuwa inawakabili juu ya mkusanyiko usiohalali"unlawful assembly" iliyokuwa ikisikilizwa mkoani Morogororo,mbele ya Mheshimiwa Hakimu ERIC RWEHUMBIZA.

Aidha kufutwa kwa kesi hii namba 156 ya mwaka 2015,ni kutafanya watuhumiwa kuwa huru,baada ya kufutwa pia kesi namba 157 ya mwaka 2015 mahakama ya mkoa Morogoro,ilikuwa pia inamkabili Mhe. Boniface Jacob kwa shitaka la kuendesha mafunzo ya "RED BRIGADE" katika wilaya ya Mvomero na Morogoro mjini.

Kufutwa kwa kesi zote mbili 156 na 157, kumelete shangwe na furaha katika viwanja vya mahakama ya mkoa Morogoro.

Mstahiki Meya wa Kinondoni Mhe.Boniface Jacob yupo njiani kurejea Dar es salaam,kwa majukumu yake ya kawaida.

Kutoka Mahakamani-Morogoro
Chadema Media
 
Hongera mh. Meya natumai ufanisi wa kufanya kazi zako utaongezeka zaidi kwakuwa utakuwa na muda wa kutosha zaidi ktk kuwatumikia wananchi.
 
Back
Top Bottom