Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mstahiki meya wa Jiji la Dar es Salaam leo ameongea na management pamoja na wafanya kazi wa jiji, ili kuwekana sawa katika utekelezaji wa majukumu yao, katika ukumbi wa Karimjee
Hakika mkuuAsisahau kuhakikisha kwamba wale mgambo waliodhulumiwa na uongozi uliopita wanapata haki yao .
View attachment 347132
Mstahiki meya wa Jiji la Dar es Salaam leo ameongea na management pamoja na wafanya kazi wa jiji, ili kuwekana sawa katika utekelezaji wa majukumu yao, katika ukumbi wa Karimjee
KabisaKama kiongozi tumempata Piga kazi meya wetu .
Mkuu wangu si unajua huku hakuna maigizo ni mabadiliko tuAtumbue majipu yote tubaki tunauguza vidonda
Umeshakwenda Halmashauri?Leseni za biashara sasa zinatolewa baada ya muda gani hapo jiji??