assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
"Sijawahi Kupanda Lori,sio usafiri wangu kwa kuwa mimi sio mizigo".
" Dereva tuheshimiane"
mayor Jacob.
" Dereva tuheshimiane"
mayor Jacob.
ya chato mkuu,AMA Nene?Malori wanapanda watu wa kanda ile ambao Mara nyingine wanaimba
hahahaha,mbavu zangu hahahaaHaya ndiyo matokeo ya speech zisizoandikwa! Lorry kubeba abiria! Labda amekumbuka mnadani!
"Sijawahi Kupanda Lori,sio usafiri wangu kwa kuwa mimi sio mizigo".
" Dereva tuheshimiane"
mayor Jacob.
"Sijawahi Kupanda Lori,sio usafiri wangu kwa kuwa mimi sio mizigo".
" Dereva tuheshimiane"
mayor Jacob.
mliozoea kubebwa Na malori kwenda mikutanoni is OK. wengine ni kitukowatu tunakaa kujadili kitu kidogo kijikasoro kisicho na mbele wala nyuma,hakiongezi wala hakipunguzi chochote,tunapoteza muda kwa vitu vidogo vidogo tunavyotaka kuvikuza viwee vikuubwa.
so?Hivi huyo Meya ile clip ya Press Conference ya Roma Mkatoliki na hasa pale alipokuwa akituonyesha makovu yake na meno yake yalivyojeruhiwa aliiona?
Ila jacob sio meya wa jiji