Meya wa Jiji Isaya, kagueni idadi ya mabango yote uswahilini, angalieni ni sawa na mnachopokea?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Tunawezakuwa tunalalamikia UDA kumbe kuna pesa nyingi tunapoteza kwenye mabango zaidi ya tulichopoteza uda

Naomba isaya na meya zako wote piteni kilakona ya mji angalieni idadi ya mabango n sawa na mnachopokea???IFIKE Wakati msipigekelele angalieni wapi wenzenu wamekosea mnasaihihisha

Tunaitajii pesa zilizokuwa zikingia.mifuko yao na chamani zirudi kwa manufaa ya wananchii pesa za jiji la kinondoni pekee zinatosha kutengneza na barabara zote zile za sinza mikocheni nk....REKEBISHENI Pale wenzenu walipokosea

Tunawatakia kazi njema
 
Back
Top Bottom