Mexico: Watu 95 huuawa kila siku

Dawa ya kuzuia mauaji ni kuruhusu biashara ya unga iwe halali dunia nzima. Mwenye kuutaka anunue na asiye utaka auache. pombe na sigara, zilikuwa hivyo lakini kwa sasa hakuna shida na wapo walevi na ambao sio walevi.

Huko Marekani wameruhusu matumizi ya bangi, siku hizi husikii sijui drug dealer wala nini, na crime imepungua.
Wakiruhusu biashara ya unga hata Mexico patakuwa kama Geneva, Switzerland tu.

Hakuna haja ya kuzuia biashara ya unga iruhusiwe. Watakao penda watatumia,na wasipenda watauacha.

Hapa Tanzania kuna Bar kila kona, wapo walevi na wapo wasiowalevi, na wapo wale seasonal walevi, yani wakizikamata wanalewa. Iwe hivyo kwenye Unga.
Bangi utaruhusiwa...,unga hapana
 
Nakupinga kwa herufi kubwa,Singara zimeruhusiwa lakini hali mtaani ni mbaya watu wengi wanagongea akana singara ya mkopo jomba hiyo mia mbili nitabu kupata na hapo unaambiwa harosto ya sigara ni ndogo sana kuliko unga, Mtu akikosa sigara anaweza kufumilia lakini sio unga...Kingine namana ya gharama za kulima Coca plant ni kubwa Mara 60 ya gharama za kulima tumbaku.. pia hekari 2 za coca plant zinakupa kilo moja tu ya cacoine,Boss hata kama zitaruhusiwa usifikiri kuwa itauzwa mia mbili kama singara futa hayo mawazo yako, bado kuna gharama za kufanya procecing kuna chemical zinatumika.
Conclusion, kama gharama za kutengeneza unga ni kubwa Mara 60 us singara je unafikili itauzwa pesa ngapi? Kama vijana wanashindwa kukunua singara mia 200 ,je wataweza kununua unga? Kama arosto ya unga ni kubwa kuliko singara, pombe na n.k je unawaona vipi vijana wataweza kuhimili kuto kushiliki wizi, udokosi na n.k ?
Sioni kama kuruhusu unga kuna faida yeyote kwa dunia..Binadam ajawai kulidhika kila tunachokipata tunatamani kupata zaid
Hapana hayo unayaona kwasababu haujaruhusiwa, ukiruhusiwa unapatika kwa urahisi kunakua hakuna wizi, unapatikana hadi kwa mkopo.
Ngoja waje waruhusu ndio utaelewa naongelea nini.
 
Nakupinga kwa herufi kubwa,Singara zimeruhusiwa lakini hali mtaani ni mbaya watu wengi wanagongea akana singara ya mkopo jomba hiyo mia mbili nitabu kupata na hapo unaambiwa harosto ya sigara ni ndogo sana kuliko unga, Mtu akikosa sigara anaweza kufumilia lakini sio unga...Kingine namana ya gharama za kulima Coca plant ni kubwa Mara 60 ya gharama za kulima tumbaku.. pia hekari 2 za coca plant zinakupa kilo moja tu ya cacoine,Boss hata kama zitaruhusiwa usifikiri kuwa itauzwa mia mbili kama singara futa hayo mawazo yako, bado kuna gharama za kufanya procecing kuna chemical zinatumika.
Conclusion, kama gharama za kutengeneza unga ni kubwa Mara 60 us singara je unafikili itauzwa pesa ngapi? Kama vijana wanashindwa kukunua singara mia 200 ,je wataweza kununua unga? Kama arosto ya unga ni kubwa kuliko singara, pombe na n.k je unawaona vipi vijana wataweza kuhimili kuto kushiliki wizi, udokosi na n.k ?
Sioni kama kuruhusu unga kuna faida yeyote kwa dunia..Binadam ajawai kulidhika kila tunachokipata tunatamani kupata zaid
We pinga tu, sigara zinavutwa sana na pombe inanyweka sana. Huko Bangi ilikuruhusiwa, nimewahi kufika mji mmoja kuna dispensaries nyingi sana za bangi, na watumiaji ni wengi na sikuona madhara au tofauti ya watumiaji na mimi ambayesitomtumiaji. Report za police wanasema crime imeshuka sana miji ambayo bangi wameruhusiwa.
Hayo ma arosto, ndiyo yatakuwa kichocheo cha wao kufanya kazi wapate pesa,au waache kutumia naana siyo lazima.
Unga uruhusiwe iwe choice ya mtu, mbona sigara na pombe ziko mitaani na siyo wote tu watumiaji?!
Hii kuzuia inaiongezea usiri na kuongeza thamani.
 
Ok ni kweli bei kushuka itashuka lakini sio ndogo kama hiyo ya sigara bangi, na mirungi , Ila mm sijazungumzia swala la bangi kbs, Bangi ni kesi nyingine. Mm napinga kuruhusiwa Unga sembe jomba, Njoo na evidence nchi iliyoruhusu unga kutumiaka na crime ikapungua, Tujifunze kutoka kwao. Process ya kuzalisha unga ni gharama kubwa hata kama itaruhusiwa bado bei yake haitakuwa ndogo kama unavyofikilia au fananisha na bangi, singara..mf. Cocaine inatumia 2 hectare kupata kilo 1 , bado kuna chemical za kuondoa impurity ili upate pure powder kwa vyovyote vile production itakuwa ndogo kuliko demand kwahivyo bei itapanda bei ikipanda itawafutia wakulima wengi kuacha kulima vyakula, matunda na kukimbilia kulima mazao ya unga na hapo over certain period of time chakula kitakuwa bei kubwa kuliko madawa ya kulevya duniani,Bado maisha yataendelea kuwa magumu tu..

Swala lako eti arasto itawafanya vijana kufanya kazi kwa hasira hilo sikubaliana na ww, Jaribu jenga hoja endapo unga ukaruhusiwa je watumiaji wataacha vitendo vya wizi(crime)? Kama arosto inatoa hasira ya kufanya kazi kwanini wala unga wasipate hasira hiyo Sasa hivi hivi kabla hawaja ruhusiwa Ili kuishawishi dunia kuwa unga unaongeza hasira ya kufanya kazi kwa hali hiyo itakuwa rahisi hoja yao kusikilizwa na rasmi unga utaruhusiwa na kuwa official kuwa moja ya faida yake ni kukupa hasira ya kufanya Kazi.
 
Acha uwe legalized uone, ninachoongea, usitokwe povu bure.
Hata pombe wapo alcoholic na sigara pia kuna chain smoker, hata unga wapo wale excessive user, lakini tatizo lililopo sasa la drug crime na drug associated crime litakwisha.
Nilisema watakaokuwa wana arosto za lazima waache wafanye kazi wapate pesa wanunue unga wao, hata wagongeaji wa sigara hawagongei kila siku kunasiku hujinunulia.
 
OK, powh acha tusubiri mpaka itakapo kuwa legalize ata kama mm nawewe hatuto kuwepo jamii forum endakuwepo vitukuu vitakuja kureply hii thread watajisemea,
Babu foxy alisema kweli basi hapo mimi nitakuwa mshindi,
Au babu nanye go alisema kweli basi ww uakuwa mshindi
 
Back
Top Bottom