Methali Tata

Methali Tata

Dominic Myumbilwa

Senior Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
190
Reaction score
93
"Cha Mkufuu, Mwanafuu Ha, Na Akila Huu,
Cha Mwanafuu, Mkufuu Hu, Na Akila Ha"

#Kiswahili #SwahiliCoast #Methali #TungoTata

"Mwanafunzi Hawezi Kula cha Mwalimu na Akila Hufa, Ila Mwalimu Anaweza Kula cha Mwanafunzi na Akila Hafi"
 
Back
Top Bottom