Metallurgy and mineral processing engineering

Metallurgy and mineral processing engineering

Msuha Aron

Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
10
Reaction score
2
Wadau naomba msaada kuhusiana na hiyo coarse ya hapo juu, nimechaguliwa UDOM VP hiyo coarse wadau ipo Marketing, naombeni ushauri wenu wadau!!!!!!!!!!!!!!
 
Wadau naomba msaada kuhusiana na hiyo coarse ya hapo juu, nimechaguliwa UDOM VP hiyo coarse wadau ipo Marketing, naombeni ushauri wenu wadau!!!!!!!!!!!!!!
Migodi ishakufa,soma kwanza na ujiandae kwenda kulima
 
Duuuuuuuuh mdau mbona unanitisha so nitemane nayo ????????????
 
Nakushauri uachane nayo kama kipaumbele chako ni Marketing kuna kozi nyingi sana za marketing ni bora ukasome hizo
 
Kwan hiyo coarse inahusiana na kilimo jombaaaaaaaaaaah mbona unanishangaza Sana????????????????
Hiyo kozi kupata kazi ni ngumu sana,hata kujiajiri pia ,kwasababu kilimo ni uti wa mgomo,ukikwama usisite kulima matikiti
 
Unaweza ajiriwa kwenye viwanda vya kuchakata madini ila sijajua kama vipo nchini labda ajenge jpm
 
karibu sana mtaani wenzio wapo mwaka wa saba huu wameamua kuwa walimu wa tuition mwenge dsm
 
Ckia mwanangu,tangulini bata akamshauri kuku kuwa kuku,achana nao kawaulize professional engineers coz co kila mtu wa kumuuliza,maswal haya muulize profesa wenu chuon
 
Back
Top Bottom