Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ni Wachezaji Bora Katika Miaka Kumi Iliyopita na Bado ni wapinzani Mkubwa Mpaka sasa, sas Lazima Mmoja awe zaidi ya Mwenzie na sasa ni Nafasi yako MwanaJF kujichagulia Nani Bora kwa Mtazamo Wako!
Gaucho bwana hatuji kumpata mtu wa hivyo tena. Mungu kuna sehemu aliwekeza akazidisha, kuuchezea na kuutuma mpira kama shilingi mkononi inahitaji hekima za Muumba. Heshima kwa Dhino!