Kuanzia leo Mimi .......... sitakaa nije nibishane huu ubishi wa Messi na Ronaldo kwa sababu ni kumaliza nguvu zangu bure wakati huo muda ningeweza hata kulima nyanya chungu na mbogamboga nikapata hela...maana ntakuwa nabishana kwa kitu kilichopo wazi ni kama mtu aanze kubisha eti duniani kuna Jua zaidi ya moja.