Afadhali wewe umeona Mkuu....We jamaa una matatizo kweli unajibiwa vizuri tena Kwa evidence unaleta mambo ambayo hayaeleweki kweny maelezo ya jamaa kitu Gani hujaelewa umeulza amefanya kitu Pele amefanya ila Messi hajafanya unapewa majibu ya maswali Yako bado unagwaya wew sio mtu wa mpira achana na mpira kafundishe vitenzi wanafunzi wako
Samahani naomba uniambie , Je,zama za Pele kucheza walikuwa wanaingia uwanjani wanacheza tu filimbi ilipigwa mpira ukitoka nje ya field of play tu na wakati wa kuanzisha na kumaliza mechi? Maana unajaribu kutuaminisha kwamba Pele alikuwa anacgezewa rafu refa anapeta ina maana unataka kutuaminisha wakati wa pele mtu akichezewa rafu hapakuwa na hatua yoyote inayochukuliwa.Ubora wa mchezaji unapimwa kwa social media ? unadhani hii ni Big Brother ? Leta dissections ya vitu sio nani ana wapenzi wengi ? Mambo gani yamefanyika na wakati gani....
Soma post ya mwanzo Maradona Messi wanaweza kutumika kama playmaker tengeneza teams around them ila tukija kwenye playmaker tamchukua Andre Pirlo Maestro... tukija kwenye clinical finishers Messi anaachwa mbali, dribbling Pele hakuwa nyuma ila kuna kina garrincha huenda angecheza kama winger angepiga chenga Pele was a complete athlete ambaye walishasema ange-excel kwenye any sport ambayo angefanya...., Na chenga za leo haupigwi buti huwezi linganisha na Chenga kipindi cha kupigwa ndaruga na refa anapeta..., Mpira umekuwa ukibadilika na kuwa a non contact sport...
Siongeli vitu kwa mapenzi ya mtu naongelea vitu kama mpenda kandanda na mfuatiliaji wa mambo na sio nani ana followers wengi au nikupe votting inayompa Ruud Gullit kwamba ndio the Best Player ?
Tukubaliane, kutokubalia.Wanaoongelea mpira sababu ya social media waache waendelee kuongea ukisoma post yangu ya mwanzo kabisa nimesema football is a game of opinions na hilo sikatai mimi ukiniambia wachezaji wakali duniani naweza kumtaja Andre Pirlo, the guy has footballing brain..., wala sitashangaa watu wanaopenda entertainers, au waliompenda OCD kutokana na uchezaji wake wa akili au Samli Ayoub kutokana na Ustaarabu wake wakati ni beki..., its all about Opinions wala haikatazwi.... Na wakati watu walikuwa wanaangalia Galacticos kina Zidanne na Roberto Carlos mimi nilikuwa naangalia umuhimu wa Makelele bila yeye timu inakosa balance wakati wengine wanafanya fancy stuff yeye anaprovide safety...
Kama unafuata mchezaji bora kwa kura kama za urais hio ni prerogative yenu, lazima kizazi ambacho kipo current kichagua mtu ambaye yupo current sababu ndio wamemuona na kukua nae; ila footballing people tunakwenda deep..., Sasa baada ya kuja Kwamba Messi ni bora kwa miaka yote ndio likaja swali Pele vipi ? Ooh Pele kipindi kile kulikuwa hakuna sheria, mara kulikuwa offside (hizi zote ni story za kwenye Gahawa..., Na mimi kama mpenzi wa soka ninasaidia kuchambua makapi kwenye ukweli hayo mengine ya mapenzi ya fulani au nani ninawaachia nyie na social media zenu
Nisaidie wewe unayejua soka. Ni jambo gani uwanjani pele alilifanya wakati akicheza ambalo Leonel Messi hawezi au ameshindwa kufanya anapokuwa uwanjani. Kama hilo jambo wote wanaliweza nani analifanya kwa ufanisi zaidi. Swali mbona rahisi sana!We jamaa una matatizo kweli unajibiwa vizuri tena Kwa evidence unaleta mambo ambayo hayaeleweki kweny maelezo ya jamaa kitu Gani hujaelewa umeulza amefanya kitu Gani Pele ila Messi hajafanya unapewa majibu ya maswali Yako bado unagwaya wew sio mtu wa mpira achana na mpira kafundishe vitenzi wanafunzi wako
Wewe ukizuiliwa kwenda shule huko kijijini kwenu , unaweza kusema ndicho kigezo cha wewe kutokuwa na maendeleo na hivyo usipimwe na wale waliokwenda shule?Pele ilifika hatua raisi akamdeclare as national treasury, ndio maana hakuuzwa kwenda ulaya.. Alikuwa ni kama pembe za ndovu au meno ya simba.
Pele kacheza kipindi kigumu jamani, tafuteni video zake watu wanachapa kisawa sawa, hakuna redca
Messi ana goli la mkono, thierry Henry ana assist ya mkono
Kama ni rahisi kufunga kwa kupiga chenga tu wewe umeshindwa nini kumfunika Messi?Seriously ?
Ngoja nikupe stats ambao wote wamecheza...
Pele alicheza world cup nne tu ( I repeat NNE) na katika hizo nne 1958 akiwa na miaka 17 aliingia na kufunga(record ambayo haijavunjwa na hapo mechi za mwanzo alikuwa bench- unajua tena kuwa rangi nyeusi wakati huo) kijana aliwasaidia Brazil kuchukua kombe na Goli lake fainali angainst Sweden la kwanza kati ya mawili ili-involve kumdash mchezaji wa kwanza (left for dead) wa pili kupigwa kanzu na kufunga bao...
1962 akacheza mechi mbili ya kwanza against Mexico akafunga bao la pili pamoja na kupigwa kiatu cha kutosha, mechi ya pili na wa-Czech akapigwa kiatu mpaka akashindwa kucheza mechi nyingine....
1966 waingereza na figisu zao alipigwa kiatu game ya kwanza cha kutosha against portugal wakammaliza kabisa hadi akasema ana-retire mpira kutokana na kwamba alikuwa target ya watu kumuondoa (kipindi hicho chote hakuna red/yellow cards)
1970 FIFA waka-introduce Yellow / Red Card Pele akarudi na kuchukua ndoo nyingine....
Messi kacheza world cup mechi nyingi zaidi katika world cup anazidiwa na mtu mmoja tu hapa duniani..., na katika hizo ingawa ameshiriki fainali mara mbili ameshinda moja...
Kwahio hapo unaweza kuona nani ni clinical na when push comes to shove who bottles it..., na katika hizo mechi alizocheza kuna ku-miss matuta
Ndio ikaja point yangu kuu kipindi hiki striker / anaweza kucheza mechi nyingi zaidi kipindi hiki ni rahisi kuliko kipindi cha kina Pele (Football imekuwa non contact sport) yaani mtu anapiga vyenga unamuangalia na kumpuliza puliza zamani yeye na mpira angejikuta kwenye chaki...
Vile vikosi ambavyo Pele alichezea kwenye kombe la dunia vilikuwa vimekamilika. Kwa hiyo hata kama Pele asingekuwemo vingetwaa ubingwa tu.Seriously ?

FactVile vikosi ambavyo Pele alichezea kwenye kombe la dunia vilikuwa vimekamilika. Kwa hiyo hata kama Pele asingekuwemo vingetwaa ubingwa tu.
Chukilia mfano michuano ya meaka 1962, licha ya Pele kuumia katika mechi ya pili, lakini akina Garincha waliibeba timu mpaka ikafanikiwa kubeba ubingwa.
Halafu kitu kingine inabidi uelewe, Kubeba Worldcup ni team work. Sasa kama wewe kwenye kikosi ni bora sana ila kuna wenzio wanafungisha, hilo linakufanyaje usiwe bora?
Cha msingi angalia individual contributions katika kila gemu, usichukue mafanikio ya timu nzima na kumtwika mtu mmoja, au usitumie kuvurunda kwa timu ukamtwika mtu mmoja!.
Copa America ndio kitu Gani Ata Chile wamebeba Sanchez, Eduardo vagas kabeba ufungaji Bora na uchezaji Bora zaidi ya mara moja Tena mbele ya Messi uje ututishe na Copa America
Tanzania tupo ranking ya chini sana kisoka hiyo ni pamoja na uelewa wa soka Duniani...
Pele sio wa kufananishwa na Messi
Messi watu wake ni wakina CR 7
Gaucho na Zidane
Elexander kiungo wa Italy na wakina Xavi au Iniesta...
Mpira wenu wa mchezaji anaitwa kutoka Kagera aje athibitishe kuwa alipewa kadi ya Njano na Azam ndio wanawastua Timu mojawapo kuwa huyu alionyeshwa kadi ya njano...Wewe ni mwanampira kweli au ni shabiki tu?
Pele wakati anacheza mpira alifikisha Goli 1000 Messi wakati anacheza mpira kashindwa kufikisha Goli 1000 ana jumla ya Goli kama 700hivyo kitu ambacho Pele ameweza kufanya uwanjani ni kwamba Kafunga jumla ya Goli 1000 wakati Messi amefikisha Goli 700 plusNisaidie wewe unayejua soka. Ni jambo gani uwanjani pele alilifanya wakati akicheza ambalo Leonel Messi hawezi au ameshindwa kufanya anapokuwa uwanjani. Kama hilo jambo wote wanaliweza nani analifanya kwa ufanisi zaidi. Swali mbona rahisi sana!
[emoji23]Pele wakati anacheza mpira alifikisha Goli 1000 Messi wakati anacheza mpira kashindwa kufikisha Goli 1000 ana jumla ya Goli kama 700hivyo kitu ambacho Pele ameweza kufanya uwanjani ni kwamba Kafunga jumla ya Goli 1000 wakati Messi amefikisha Goli 700 plus
Maradona tena ametoka wapi wezako tumeshiba pilau wew umeshiba miwa pole[emoji23]
Na Messi kachukua best world cup player of the tournament mara mbili ,Maradona ana ngapi?
Pilau wenzio tunakula kama mlo wa kawaida weekly wewe hadi sikukuu .Maradona tena ametoka wapi wezako tumeshiba pilau wew umeshiba miwa pole
We kubali tu Leo umeshiba miwa basiPilau wenzio tunakula kama mlo wa kawaida weekly wewe hadi sikukuu .
Edit hapo weka Pele