Unajua kwanini ? Unajua 1961 alifanywa Nyara ili asiende Europe ?Pele hajacheza hata ulaya.
Unajua hao wavuta sigara walishinda kombe la Intercontinetal cup (dhidi ya timu za ulaya) na kushinda mara ngapiAlafu kacheza Vs wakulima na wavuta sigara.
Na hao wanaorudi vibaruani wanaruhusiwa kupiga kiatu cha kila aina na tackles from behind pia ruksaWatu wanatoka kwenye mechi wanarudi vibaruani
hana assists hii umeitoa wapi ?Plus hana Assist hawezi hata kudribble
Wewe umezaliwa juzi hapa kaa kwa kutulia. Unaweza pia kugoogle uone vitu vya PeleAsa pele anamfikiaje Messi jamani
Poa how are uMambo Pau
Messi ndo mchezaji Bora wa muda wote full stopHapa hatupo kuridhishana mimi na wewe bali ni kuweka data / facts za nini ni nini ? na vipi na wapi ?
😂😂😂😂 itabidi mjikaze mnoKwahiyo baada ya CR7 kupigwa gape na Messi,mmeamua kuja kivingine kwa kumfananisha Messi na Pele
Haya maelezo yako ndo yangemzuia Messi kufunga magoli wakati huo ? Hata kwa vipimo hivyo Messi would have scored many goals wasiwasi ungekuwa kwa Ronaldo CR ambaye anavizia zaidi tap in .Dribbler kama Messi angefunga sana tuHata uelewa unao mkuu ? Kipindi anaanza kulikuwa hakuna red/ yellow wala substitution na rafu nyingi refa anapeta.
Narudia uelewa wako unatia mashaka nimesema kipindi cha pele assists zilikuwa haziwi recorded kwahio inabidi watu warudi kutazama mechi ambazo zilikuwa televised (sio zote) kwahio hii stats ni ngumu kuipata sababu hatuna kina opta index wanaochukua kila takwimu Kwahio hizo sio official upande wa Pele
Again uelewa wako mkuu kipindi kile hakuna marginally offside yaani achana na shati yaani hata kama defender anakuweka onside kwa nusu mwili bado ni offside na zamani kabisa haikuwa mmoja tu bali wawili kwahio kila wakati kulikuwa na defender mbele yako ambae haogopi kwamba ana-kuplay onside....
vipi ?
Haijalishi hata kama alishikwa ugoni ukamzuia kwenda ulaya, point is hakucheza competitive league ya ulayaUnajua kwanini ? Unajua 1961 alifanywa Nyara ili asiende Europe ?
Kipindi hiko dunia nzima mpaka ulaya wachezaji walikuwa wavuta sigara na kufanya vibarua kama maseremala, wajenzi maana kulikuwa hakuna sheria za kuwabana na soka lilikuwa halilipi, haikuwa full time jobUnajua hao wavuta sigara walishinda kombe la Intercontinetal cup (dhidi ya timu za ulaya) na kushinda mara ngapi
Umeshindwa kujua kuwa soka la kipindi kile lilikuwa primitve ukilinganisha na hili la kisasa, hakukuwa na mbinu za kudefend au kuattack kama soka la leo.Na hao wanaorudi vibaruani wanaruhusiwa kupiga kiatu cha kila aina na tackles from behind pia ruksa
Nimemlinganisha na Messi sijamlinganisha na Lukaku.hana assists hii umeitoa wapi ?
Unajua signature faint ya Pele ? , Unajua Dribble de Vaca Kwamba pele alikuwa anafanya nini kama sio dribbling au unamfananisha Pele na Emil Heskey au Lukaku ?
Mbona umesahau kusema na offside haikuwepo, ingekuwepo Pele angemaliza career na magoli 47Hata uelewa unao mkuu ? Kipindi anaanza kulikuwa hakuna red/ yellow wala substitution na rafu nyingi refa anapeta.
Kwani uongo asa Mbappe na Messi nani bora kwenye kombe la dunia.Tim Ronaldo mnahangaika sana mara mbappe mara Pele [emoji23][emoji23]
Sasa hii chenga ni ngumu kabisa hadi iwe kigezo cha kuwa the Greatest? ina maajabu gani?
am good, how is your weekendPoa how are u
Sio kweli offside imeanza zamani sana, kulikuwa na sheria zilizowalinda makipa na mabeki, tofauti na sasa.Messi ni mchezaji bora kuliko wote hata pele mwenyewe
Pele alikuwa bora kwenye ufungaji tu tena mpira wa zamani haukuwa na offside
Messi anavyo vyote
Salama mkuu,hope u tooam good, how is your weekend
Yeah all is well, nafurahi kukuona jukwaani UbarikiweSalama mkuu,hope u too
same to uu mkuu 😍Yeah all is well, nafurahi kukuona jukwaani Ubarikiwe
Hivi nyie watu hata ku-google kunawasumbua ?Mbona umesahau kusema na offside haikuwepo, ingekuwepo Pele angemaliza career na magoli 47