Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,857
- 3,050
Team Ronaldo watakupingaMessi amefika fainali nyingi za kila mashindano aliyocheza kuliko mchezaji yeyote aliyewahi kucheza soka.
Amecheza fainali mbili za kombe la dunia na fainali Nne za Copa America, fainali ya olympic na Worldcup under 20, na Fainali ya Finelissima. Achilia mbali fainali za vilabu.
Na si kufika fainali tu bali amekuwa mchezaji bora wa mashindano aliyoshiriki kuliko mchezaji yeyote katika historia ya soka.
Pele amekuwa mchezaji bora wa michuano ya WC mara moja tu, mwaka 1970. Wakati Messi amekuwa mchezaji bora wa WC mbili, ile ya 2014 na 2022.
Ktk michuano ya World cup U 20, Messi alikuwa mchezaji bora
Ktk Copa America amekuwa mchezaji bora mara kibao
Ile michuano ya Finelissima amekuwa mchezaji bora!
Kiufupi Messi kamzidi Pele, ila watu bado wako ktk hangover ya historia tu.
Weka data kaka maneno mengi hayahitajiki sana hapa ,Naam is this an advantage au disadvantage kwamba kacheza nyingi lakini kashindwa kuchukua makombe sawa na alizocheza (return on investment) ni ndogo when push comes to shove nahodha kashindwa kuwavusha
Kacheza fainaili mbili moja kashindwa na katika hio moja ka-miss a golden chance Pele kacheza Fainali Mbili ambazo zote amechukua kombe; mbili zilizobaki moja alichukua kombe baada ya kufunga game ya kwanza ya pili akapigwa kiatu akaumia nyingine kapigwa kiatu Brazil ikatolewa hatua ya makundi.....
Kacheza Copa America Moja tu ambayo kafika mpaka fainali na kuwa mfungaji bora kumbuka kipindi kile ilikuwa stopped na kurudi tena 1970.., sasa kuhusu vilabu kaangalie alifanya nini na Santos (Kashinda kombe la ulaya na america mara tatu)
Hivi unajua the youngest player award ya 1958 alikuwa nani ? , pili unajua kwa miaka mingi mchezaji bora alikuwa ni Golden Ball yaani mfungaji bora ? na kwa kusema Messi mchezaji bora 2014 wakati hawakuchukua Kombe kwanini mwaka huu tuseme asingepewa Mbappe utaona hapo huwa na mfungaji bora separate na mchezaji bora kumeongeza nafasi za awards
Wakati Messi anahangaika na under 20 pele at 17 alishachukua Kombe la dunia..., Pele na Santos walikuwa wanazunguka dunia nzima na kucheza mechi na timu tofauti tofauti na zote jamaa anafanya yake (Messi kapata injuries mara ngapi na kipindi cha kina Pele walikuwa wanapata injuries mara ngapi unadhani Pele angeweza kucheza mechi nyingi alizocheza Messi na return yake ya peformance leo tungekuwa tunazungumza nini ?
Eti Pele alikuwa mchezaji bora 1970 tu..., kaangalie 1958 nani alifanya yake....., kwa kukumbushia tu.... Kwenye Fainali a 17 year Old anaweka mpira kwenye chest ana-dash defender wa kwanza wa pili anapigwa kanzu kipa anaangaliwa yupo wapi bao....; Pao la pili anapigwa kichwa matata sana kilichoanzishwa na one Two ya Pele kwa Pasi ya Kisigino....
Hadi mfalme wa SWEDEN anashuka ku-shake mkono wa Pele........; A KING WAS CROWNED
Maneno ya Jus Fontaine mfungaji Bora
Pele hit the last three goals as Brazil beat France 5-2 in the semi-finals, pouncing on two loose balls in the goalmouth for a pair of well-taken poacher’s goals and completing his hat-trick with a stinging volley.
Just Fontaine scored for the losers and went on to finish the tournament with 13 goals.
“When I saw Pele play, it made me feel I should hang up my boots,” Fontaine said later.
Umezaliwa juzi kumbe (Ingawa hili sio tatizo lakini tatizo ni uvivu wa kufuatilia mambo) Pele ni (SI Unit) miaka yote Pele anafananishwa na kila mtu wala hii sio mara ya kwanza au ya mwisho ataendelea kufananishwa na kila mtu.... yaani kama unavyofananisha cm 100 na mita 1Weka data kaka maneno mengi hayahitajiki sana hapa ,
Unadhani kwa nini debate si kati ya Messi na Maradona ,Messi na Cryuf au Di Stephano?
Au mbona hii debate haikumhusu De Lima dhidi Pele, Zidane vs Pele , Dinho vs Pele na hata Kaka vs Pele?
Hii inatosha tu kukwambia Messi ameonesha ubora kuliko wote hao na debate anabaki yeye na Pele at the top sasa data zinambeba Messi than Pele ndo maana tunasema Messi ndiye real GOAT.
Muhimili wa Brazil 1958 alikuwa nani ebu mtaje ? tofauti na Pele alikuwa na Captains ambao walikuwa wanahakikisha wana-command respect when things go wrong they stand and be counted tofauti mkiwa mnazama ukimuangalia Messi na yeye anasinyaa ndio matokeo ya kucheza fainali nyingi na kutoka empty handed (In comparison na Pele)unapokomaa et alishinda world cup at the age of 17 unamaanisha yeye ndiyo alikuwa mhimili wa timu ya Brazil something that was wrong.Ndiyo maana record zinaonesha hata mwaka 1938 Brazil ilitoa mfungaji bora wa mashindano ambaye alifunga goli 8 a mark that Pele hakuifikia kabisa.
Sasa huoni kwenye Timu ya vinara kwa kumuachia Pele a 17 year old chance na akafanya yake its a show of respect au unataka kumaanisha nini ? Brazil ya mwaka huu nzuri kushinda Argentina ila imeshinda Kombe ? Angekuwepo mtu kama pele wa kuweza kufanya anayofanya ingekuwaje ? Unadhani waliomtarget Pele kwa buti ili asicheze walikuwa hawajui kwanini wam-target PeleIlicheza semi final ikatolewa kipuuzi kisa ujinga wa kocha hebu soma
[emoji116]
Brazilian player Leonidas, the top scorer of World Cup 1938, had a job as a private eye.
At the start of a 1938 finals match against Poland, Brazilian player Leonidas took off his boots because he wanted to play in the muddy pitch barefooted. The referee immediately ordered Leonidas to put his boots back on, and Leonidas went on to score 4 goals in that match, finishing top scorer of the 1938 tournament with 8 goals in 4 matches.
Brazilian player Leonidas was left out of the team for the 1938 semi-final against Italy as the Brazilian coach wanted to save Leonidas for the Final. It was obviously a wrong decision as Brazil unexpectedly lost 2-1 to Italy in the match. Ironically, in the third-place match two days later, Leonidas scored two goals and helped Brazil achieve a 4-2 victory over Sweden.
Aisee unajichanganya tuu mkuu kwahio Brazil ilikuwa nzuri 1938 au mwaka gani 1958 unajua Pele asingecheza ila kuna captains wa timu wakamlazimisha kocha awapange Pele na Garrincha (unadhani walipangwa ili kupendezesha timu) unasema wangeshinda regardless who was their players ? Kwamba Brazil ingekuwa Better without their Best Player ?;Huenda Brazil ingekuwa na Leonidas in the Semis ingebeba ndoo cos alikuwa mzuri kufunga.
Ndiyo maana tunasema Brazil has a great team kuanzia hiyo 1958-70 ndiyo maana walikuwa crowned ubingwa 3 times regardless Pele alikuwepo au hakuwepo ndiyo maanaHuu tournament ya 1962 alicheza mechi 2 akafunga goli 1 na Brazil ikatwaa ubingwa vilevile.
Kwahio sasa tunaongelea magoli peke yake angalia katika hizo world cup assits alikuwa anafanya nani Hivi unajua sifa nyingine ya Pele ilikuwa hata anapoweza kufunga bao akiona mwenzake yupo poa zaidi anatoa pasi ? angalia magoli yaliyofungwa Kwenye Fainali 1970..., by the way.. Kipindi kile timu nyingine zina goal poachers Pele was more than a scorerMwaka 70 kacheza mechi 6 kafunga goli 4 wakati mfungaji bora wa Brazil katika kombe hilo alikuwa Jaizinho aliyefunga goli 7
Hivi kati ya Jaizinho na Pele nani alikuwa influential kuwin kombe hilo kama to score tu inaweza kutumika kusema Pele won a world cup for Brazil kama individual performer?
Statistics ziseme brother
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
| # | Player | Country | Team | Assists |
|---|---|---|---|---|
| 1. | Pelé | Brazil | Brazil | 5 |
| 2. | Tostão | Brazil | Brazil | 4 |
| 3. | Hristo Bonev | Bulgaria | Bulgaria | 3 |
So kwanini walio cheza na pele enzi zake hawana goli 1000
Hakuna uhakika kama pele amefunga goli 1000, sema baadhi ya wabongo wamekariri, na most of them ni mahaters wa Messi.Goli za pele ni za mchongo unaweza kuniletea stats alifunga dhidi ya nani?? Maana MESSI na RONALDO tukivuta mkeka tunaona magoli yao walifunga dhidi ya nani. Sitaki uanze kunambia habri za teknilogy ukweli ni kua PELE aliongeza magoli katuwekea mpaka magoli ya mchangani[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2464241
Goli zaidi ya 1000 ni mechi zote pamoja na exhibition games Pele alikuwa kivutio kwa dunia ambapo alikuwa anasafiri dunia nzima kucheza games tofauti kwa all games ni zaidi ya 1000Goli 1000 amezipata kwa njia gani? Je kulikua na offside ama hapana? Na je!
Kacheza Santos ambayo iliweza kuzifunga Clubs tofauti tofauti dunia nzima (ikiwepo na kuchukua Kombe la Intercontinetal Cup) mara tatu...Amecheza club zipi kubwa ambazo zitamfanya aonekane mwamba kama ilivyo kwa King Messi na King Diego!
Hizo ni official goals zikiwemo goli 12 kwenye appearance 14 kwenye world cup angalia hio ratio ipo vipi kwanza ndio hata wewe uta-appreciate the King...Has any footballer scored 1000 goals? Over the years, the Brazilian legend has often claimed to have scored more than 1,000 times in his career. However, some of his strikes are believed to come in amateur and unofficial matches. According to reports, Pele managed around 757 goals in about 831 games.
Hakuna mtu wa kukariri Pele alikuwa a football icon na ndio maana Santos na Pele walisafiri dunia nzima kucheza mechi alizunguka dunia nzima mpaka Africa ikiwemo Kenya na Uganda na Congo Spain England n.k. ndio hizo goals zaidi ya 1000 lakini kwenye huu mjadala tumeweka official goals; na katika hizo zaidi ya 1000 walikuwa wanasafiri mara nyingine kwa wiki zaidi ya mechi tatu... People had to see Pele.... The 21st Century Football Icon... hata wasiopenda mpira katika sentensi zao uliwasikia wakisema nilicheza kama Pele...., Hapo wakipeana taarifa za kumpata mrembo fulani...Hakuna uhakika kama pele amefunga goli 1000, sema baadhi ya wabongo wamekariri, na most of them ni mahaters wa Messi.
Ona hapa👇
Has any footballer scored 1000 goals? Over the years, the Brazilian legend has often claimed to have scored more than 1,000 times in his career. However, some of his strikes are believed to come in amateur and unofficial matches. According to reports, Pele managed around 757 goals in about 831 games.
Hakuna mtu wa kukariri Pele alikuwa a football icon na ndio maana Santos na Pele walisafiri dunia nzima kucheza mechi alizunguka dunia nzima mpaka Africa ikiwemo Kenya na Uganda na Congo Spain England n.k. ndio hizo goals zaidi ya 1000 lakini kwenye huu mjadala tumeweka official goals; na katika hizo zaidi ya 1000 walikuwa wanasafiri mara nyingine kwa wiki zaidi ya mechi tatu... People had to see Pele.... The 21st Century Football Icon... hata wasiopenda mpira katika sentensi zao uliwasikia wakisema nilicheza kama Pele....
Kama wewe hujui ni wewe ni kama mtu kafumba macho akiona giza anadhani kila mtu yupo gizani Naam Pele kacheza timu mbili maishani mwake na hio Cosmos alikuwa past his peak lakini alipelekwa Marekani kutangaza Soka...Narudia tena, hukumshuhudia pele akicheza, na wala hujui magoli hayo kayafunga akiwa na timu zipi! Ulichokariri ni santos na cosmos ya marekani.
Kwahio wewe unachojua ndio unadhani ni kipimo cha wengine kujua ?Messi tumemshuhudia LIVE, tunafahmu amechezea timu zipi, na magoli ameyapata kupitia club's/timu zipi, ameshiriki mashindano mbalimbali makubwa kupitia clubs kubwa barani ulaya, elewa hicho kijana..
Diego nadhani wewe ndio humjui Diego nimemfuatilia kuanzia mwanzo wake mpaka mwishoni na doping scandals zake na ukilinganisha Diego na Messi Diego ana uwezo wa ku-uplift timu when push comes to shove hasinyai kama Messi (ana stand up to be counted) Aliyofanya Napoli ni makubwa Messi asingeweza....pia ana tuzo mbalimbali amezipata kupitia timu kubwa kwa maana amezisaidia..
Huo msemo wa pele ulishapotezwa, Unamjua Diego wewe? Au messi?
Ongea mpaka asubuhi, ila ukweli unao moyoni..
Mchana mwema
[emoji23][emoji23] kwa hiyo umekubali hakuwa top scorer au sio?Umezaliwa juzi kumbe (Ingawa hili sio tatizo lakini tatizo ni uvivu wa kufuatilia mambo) Pele ni (SI Unit) miaka yote Pele anafananishwa na kila mtu wala hii sio mara ya kwanza au ya mwisho ataendelea kufananishwa na kila mtu.... yaani kama unavyofananisha cm 100 na mita 1
Muhimili wa Brazil 1958 alikuwa nani ebu mtaje ? tofauti na Pele alikuwa na Captains ambao walikuwa wanahakikisha wana-command respect when things go wrong they stand and be counted tofauti mkiwa mnazama ukimuangalia Messi na yeye anasinyaa ndio matokeo ya kucheza fainali nyingi na kutoka empty handed (In comparison na Pele)
Sasa huoni kwenye Timu ya vinara kwa kumuachia Pele a 17 year old chance na akafanya yake its a show of respect au unataka kumaanisha nini ? Brazil ya mwaka huu nzuri kushinda Argentina ila imeshinda Kombe ? Angekuwepo mtu kama pele wa kuweza kufanya anayofanya ingekuwaje ? Unadhani waliomtarget Pele kwa buti ili asicheze walikuwa hawajui kwanini wam-target Pele
Aisee unajichanganya tuu mkuu kwahio Brazil ilikuwa nzuri 1938 au mwaka gani 1958 unajua Pele asingecheza ila kuna captains wa timu wakamlazimisha kocha awapange Pele na Garrincha (unadhani walipangwa ili kupendezesha timu) unasema wangeshinda regardless who was their players ? Kwamba Brazil ingekuwa Better without their Best Player ?;
Arguably the Best Brazil Teams ever ni 1970 na 1982 ya kina Zicco ila 1982 walishinda Kombe ? Kumbuka ni rahisi kutengeneza Timu ukiwa na mtu kama Pele (Team Player) kuliko kina Prima Donna's wa Sasa (hawakabi wanatembea na wanamgomea Kocha) kwahio Brazil were the best Teams (key word Team na sio a bunch of 11 individuals) na katika hizo Team Pele was their Main Man
Timu ya 1982 ilikuwa inasifika kwa one touch football, wakati wa Pele Ilikuwa inasifika kwa Ginga (Samba Style) ndio hii Neymar anafanya yaani ukipata mpira ni burudani tosha...
Kwahio sasa tunaongelea magoli peke yake angalia katika hizo world cup assits alikuwa anafanya nani Hivi unajua sifa nyingine ya Pele ilikuwa hata anapoweza kufunga bao akiona mwenzake yupo poa zaidi anatoa pasi ? angalia magoli yaliyofungwa Kwenye Fainali 1970..., by the way.. Kipindi kile timu nyingine zina goal poachers Pele was more than a scorer
World Cup 1970 Mexikó » Assists - worldfootball.net
https://www.worldfootball.net › wm-1970-in-mexiko
# Player Country Team Assists 1. Pelé Brazil Brazil 5 2. Tostão Brazil Brazil 4 3. Hristo Bonev Bulgaria Bulgaria 3
Mkuu hata kwenye vinara kuna vinara zaidi hivi tujiulize World Cup aliyochukua Messi kuna mtu aliyewabeba zaidi ya Kipa wao ?!!! Au unataka kusema nini kwamba katika Peak ya Brazil mchezaji wao nyota hakuwa Pele ? Nashindwa kukuelewa mkuu chagua point moja to delve into it na kwenda logically sio ku-pick and choose...
Sasa kuna cha kukubali au kukataa hapo hapa hatupo kuleta ushabiki maandazi tunaongelea facts kuna poachers na goal machines ila Pele alikuwa analeta more than goals kuna kitu kimoja hukielewi ngoja nikupe list ya all time top scorers world cup alafu utagundua kitu[emoji23][emoji23] kwa hiyo umekubali hakuwa top scorer au sio?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
# | Player | Team(s) | M. | goals | Penalty | Ø |
|---|---|---|---|---|---|---|
1 | Miroslav Klose |
| 24 | 16 | 0 | 0.67 |
2 | Ronaldo |
| 19 | 15 | 1 | 0.79 |
3 | Gerd Müller |
| 13 | 14 | 1 | 1.08 |
4 | Just Fontaine |
| 6 | 13 | 0 | 2.17 |
| Lionel Messi * |
| 26 | 13 | 4 | 0.50 |
6 | Kylian Mbappé * |
| 14 | 12 | 2 | 0.86 |
| Pelé |
| 14 | 12 | 0 | 0.86 |
8 | Jürgen Klinsmann |
| 17 | 11 | 0 | 0.65 |
Kwahio magoli yake mengi kayafunga akiwa Santos;
[emoji23][emoji23] kwa hiyo umekubali hakuwa top scorer au sio?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umehama tena kwamba Pele hakuwa goli poacher na ndiyo maana hakuwa top scorer kama ndivyo unawez kuniambia if Messi ni goal poacher au la? Ili tuwalinganishe in other roles tuhame kwenye mabao?Sasa kuna cha kukubali au kukataa hapo hapa hatupo kuleta ushabiki maandazi tunaongelea facts kuna poachers na goal machines ila Pele alikuwa analeta more than goals kuna kitu kimoja hukielewi ngoja nikupe list ya all time top scorers world cup alafu utagundua kitu
Angalia hapo chini Ukimtoa Just Fontaine ambaye alikuwa Ni Natural Goal Machine na Gerd Muller Utamuona Mtalaamu Pele and he offered more than just Goals...., Kwahio hapo ukiwatoa hao Goal Poachers unamkuta Mtaalamu Pele na hapo kumbuka alikuwa ni sumaku ya Mabeki kumkabidhi viatu....
#Player Team(s) M. goals Penalty Ø 1Miroslav Klose Germany 24 16 0 0.67 2Ronaldo Brazil 19 15 1 0.79 3Gerd Müller Germany 13 14 1 1.08 4Just Fontaine France 6 13 0 2.17 Lionel Messi * Argentina 26 13 4 0.50 6Kylian Mbappé * France 14 12 2 0.86 Pelé Brazil 14 12 0 0.86 8Jürgen Klinsmann Germany 17 11 0 0.65
Naona ashakamatika hapo kama Pele hakuwa best scorer kwenye world cup zote 3 sasa huo ubora wake ulikuwa kwenye nini hasa? [emoji23]Hahhaa, huyu jamaa anamsifu pele utafikiri amemshuhudia LIVE, utafikiri alikua umri mmoja na Pele [emoji2] ni kwamba haters yeyote wa Messi na Diego Armando hawezi onyesha ukweli mitandaoni, ila moyoni wanawakubali ndio Wachezaji bora kuwahi kutokea
Messi[emoji818]
Maradona [emoji818]
Pele[emoji777][emoji777][emoji777]
Messi amewahi tungiwa Sheria ya kutokutoka nje ya nchi embu kuwa na heshima na PeleHuna akili
Kombe la dunia ni mechi saba, mechi za ligi 30+
Messi hata asingechukua kombe lw dunia hakuna mchezaji wa kulinganishwa naye kwa kweli
Ni kweli pele alifanya vizuri enzi za mpira wa giza lkn kaachwa mbali na messi
Pele hajawahi kufungwa akiwa uwanjaniUmehama tena kwamba Pele hakuwa goli poacher na ndiyo maana hakuwa top scorer kama ndivyo unawez kuniambia if Messi ni goal poacher au la? Ili tuwalinganishe in other roles tuhame kwenye mabao?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app